MBEYA: Kijana akimbia ndoa kanisa la KKKT

MBEYA: Kijana akimbia ndoa kanisa la KKKT

Labda tuseme tu mrembo ulighafilika kusema b harusi ni mbaya.
Lakini mi nishakuoenda bure
 
Lol. Bi harusi mbona mbaya hivyo? Any way soo sad news kwa kweli

"Uzuri uko kwenye macho ya mpendaji.
7da68ade54f23089be5cf3decad92e65.jpg
 
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#usirudiekosa2020[/HASHTAG]
 
Enzi za Magufuli hizi na ndoa wapi na wapi? Unaweza kuishia kuitwa mchochezi bure tu!
 
Nadhani tatizo sio simu bali mwandishi mwenyewe!
Inaelekea watu wame msahau Pdidy uandishi wake!si tushamzoea ana nondo za uhakika ila itakupata kazi yakurekebisha tungo zake ili upate maana halisi .
Dada yangu Faizca Foxy hatii wino mwekundu kwa Pdidy maana atachoka!
 
Siyo mbaya,kwani wewe ndo mzuri?
Mungu aliumba mwanadamu na akapemdezewa naye!

Hujafa hujaumbika,waweza badilika jina ama sura mda wowote.

Tubu, mwambie Yesu akusamehe dhabi ya kufuru kusema alichokiumba ni kibaya!
Tubu kwanza wewe kwa kuhukumu bila kuelewa huyo aliyeandika alimaanisha kitu gani.
 
Huyo bwana harusi kabla ya siku moja ya kwenda kanisani kufunga ndoa alipokea ujumbe kuwa bi harusi ana mtoto na ana mimba ya miezi minne ya baba wa mtoto wake yaaani X -Bf.

Wakati muolewaji hakumpa taarifa hizo muowaji toka mwanzo wa uhusiano wao.

Aliye zaa nae na mwenye mimba ya miezi minne ndiyo alimtumia SMS bwana harusi mtarajiwa.Kwa kumueleza bi hausi unamuowa lkn ni mjamizito na mimba ni yangu na ana mtt wangu hayo hajakwambia.

Habari hii nimeisoma sehemu kisa cha kukimbia huyo bwana harusi.
 
Kuokoa jahazi mwanamke angepewa fursa ya kuchagua mume palepale church game liishe sare.
 
Back
Top Bottom