MBEYA: Kijana akimbia ndoa kanisa la KKKT

Mnawaza lipiboraa akimbie sasaa ama ajekuikimbia banda yandoaaa... Tuwekane saw wanandoa

Kunasehemu nimekuta kabisawanaume wanasema waliondani yandoa wanatamani kutoka NA walionje awataki kuingiaa

Sass kamahuyu kijana kakutana nahii misemo ijumaaa lazima alekona
Simu yako haina space bar?
 
Siyo mbaya,kwani wewe ndo mzuri?
Mungu aliumba mwanadamu na akapemdezewa naye!

Hujafa hujaumbika,waweza badilika jina ama sura mda wowote.

Tubu, mwambie Yesu akusamehe dhabi ya kufuru kusema alichokiumba ni kibaya!
Amina mtumishi
 
Huyo bwana harusi kabla ya siku moja ya kwenda kanisani kufunga ndoa alipokea ujumbe kuwa bi harusi ana mtoto na ana mimba ya miezi minne ya baba wa mtoto wake yaaani X -Bf.

Wakati muolewaji hakumpa taarifa hizo muowaji toka mwanzo wa uhusiano wao.

Aliye zaa nae na mwenye mimba ya miezi minne ndiyo alimtumia SMS bwana harusi mtarajiwa.Kwa kumueleza bi hausi unamuowa lkn ni mjamizito na mimba ni yangu na ana mtt wangu hayo hajakwambia.

Habari hii nimeisoma sehemu kisa cha kukimbia huyo bwana harusi.
 
Ebo hilo ndilo la kukimbia? UKIPENDA BOGA PENDA NA MAUA YAKE.Huyo kijana vipi?
 
Huyo bwana harusi kabla ya siku moja ya kwenda kanisani kufunga ndoa alipokea ujumbe kuwa bi harusi ana mtoto na ana mimba ya miezi minne ya baba wa mtoto wake yaaani X -Bf.

Wakati muolewaji hakumpa taarifa hizo muowaji toka mwanzo wa uhusiano wao.

Aliye zaa nae na mwenye mimba ya miezi minne ndiyo alimtumia SMS bwana harusi mtarajiwa.Kwa kumueleza bi hausi unamuowa lkn ni mjamizito na mimba ni yangu na ana mtt wangu hayo hajakwambia.

Habari hii nimeisoma sehemu kisa cha kukimbia huyo bwana harusi.
dah

Jamaaa alikuwaanakwendaa kuleaaa mtotowakamboooo loh
 
kuna mkuu hapo mwanzo alisema b harusi mbaya sina hakika kama siku hizi wanaume wanaoa sura au aweke picha yake hapa tumuone na yeye la sivyo hiyo ni kazi Mungu.
 
Bwana harusi mwenyewe amekaa kuacha manyoya muda wowote
 
Siafadhaliii yahuyu kawahikimbiaa

Kunakaka mmoja Kimaramwisho alichezewa same game.. Mbayaa mtoto wa mwanamke
wakadai wakaka nakusimamia kasimamia harusi

Wamemaliza ndoaa usikuujamaa akawarusHow's meseji..bintii anantoto nahuyo aliekuwakushoto kwenu mbele n wake

Unahisi hnymn ilikuwaje?? Mungu
anawaona.... nishidaaa jamaa akangangana ahakikiwe hahahaaa

Ndoa ikawandoana ikafiahapooo miezisita ziii
 
mmh hilo jina la mchungaji mbona kama ni la kutunga wajomba maana daah, hahah
 
Minasema MUNGU AINGILIE KATI HAWAWAMAMA WANASIRI NZITOO SANA KUHUSU WATOTO WETU

TUKIANZA KUKAGUA KILA NYUMBA DNA
NAWAHAKIKISHIA TUNATOA MTOTO MMOJA AA WAWILI WALIOCHAKACHULIWA
 
e059497f8ff39a565ea86def5dd61e93.jpg
 
Back
Top Bottom