Mbeya: Aliyeoa Yatima Mlemavu Gumzo, Wanavyoishi Utashangaa

Mbeya: Aliyeoa Yatima Mlemavu Gumzo, Wanavyoishi Utashangaa

Wangekua wazungu mngesifia na kudai mapenzi ya kweli sababu ni waafrika basi washirikina. Huu ufinyu wa fikra utawaisha lini nyie watanganyika?
Try to reason out properly..... mtu mweusi bado ni mtu mshenzi tu
.. hata kwa karne hii.....narudia tena iko kitu hapo!!!...hiyo njemba haiwezi kutudanganya eti ima fall in love....that will be a joke of the century take it to your wallet...
 
Ulaya wapi wakati ni mtwara tu hapa!
Jinsi tunavyowaza ndivyo tunavyokuwa. Unapooana bundi ni kitu gani cha kwanza kinakujia kichwani?!!

Kuna nchi nimesahau ila Ulaya jamaa mke wake hana miguu wala mikono. Imagine anambeba kama mtoto!! Hapiki, hafui wala kufanya usafi wa nyumbani. And what is that?! Uchawi?!

Haijalishi una hali gani maskini, tajiri, mlemavu, jambazi, mwizi, mchamungu kuna mtu yuko mahali kwa ajili yako. The one yuko tayari kuyabeba na kuyaficha madhaifu yako. Hakuna aliyeletwa duniani kwa bahati mbaya.

Okay nimezunguka sana ila to cut a story short tubadili kipaumbele chetu tunapofikiri. Positive itangulie halafu ndio ifuate Negative ikibidi badala ya kufanya kinyume chake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
haahaa...sio wote..mie nimeandika tu..unajua kinachotufanyaga wanawake tuwe na madharau ni nyie mnavyotufanyiaga tukiwa apeche alolo..hakuna mwanamke anayeweze mfanyia ujuha huo mumewe aliyewah kumbeba wakat wa shida..hakuna..nyie mkiwaga nazo mnatuona sie sio wamaana kwenu...ngoja sasa na sisi tuzipate..automatic unakuwa na hasira kwa alowah kukufuja..ndo mbadilike...
kuna janaume 1 mkewe hakua na kazi bas unga uishe aambiwe anasema duh..huo unga si nimenunua 3wks ago? sukari iishe atasrma duh..mnalamba au?bas mke anakosa raha ht ya kula...hv ww kinakusumbua kiyu gan kutoa hela unga ununuliwe lakini utafte njia nzuri ya kufikisha ujumbe..unashindwa nn kusrma mke wangu unga tumien vizuri mambo magum?ww unaenda direct na unajua kuna ndug zake wapo pale...mnalo![emoji57]
Tabia hizo wapo wengi sana, sasa siku aishiwe halafu mke awe ndiye mtunza familia utamsikia siku 2 tu kaanza kulalamika mke anamnyanyasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afu acheni tu,hao walemavu ni watamu sana,halafu imagine una uhakika wa kula alone...wana k za moto hatari yaani,so huyo jamaa muacheni.

Moja kati ya vitu Mungu alifanya ufundi ni kwenye kugegedana,utamu anaosikia billgate akikojoa ndio hata kapuku wa matwaga anausikia uleule.

So muacheni jamaa,mkitaka tafuteni hizo specie...mimi nishakulaga moja,tuliachana kwa sababu zingine tu ila sijawahi onana na papuchi tamu na ya moto kama ya yule demu disabled.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nazungumzia Ndoa za Mlemavu wa Kiume...
Mkuu kwa mlemavu wa kiume kama ana hela zake huwa haina shida. Namfahamu lecturer mmoja hapa nchini ni mlemavu lakini ukimuangalia mkewe hutoamini. Na jamaa kamnunulia Prado ya kutembelea. Sasa shida ukute mlemavu halafu hana kitu. Huwa wanatizamwa kama embe bovu sokoni.
 
Back
Top Bottom