Mbeya: Aliyeoa Yatima Mlemavu Gumzo, Wanavyoishi Utashangaa

Mbeya: Aliyeoa Yatima Mlemavu Gumzo, Wanavyoishi Utashangaa

Kuna uwalakini hapa,
Lakini hata jamaa mwenyewe kuna kama point fulani hazipo sawa..

Haya mahusiano yanaweza kuwa yapo kimaslahi zaidi huenda mwanaume kamtumia huyu mwanamke kama fursa..
Hawa watazunguka sana kwenye vyombo vya habari kwa ajili ya kuomba misaada ndio mana walisubiri wazae kwanza..
Lakini pia inawezekana wamependana kweli..

Nikioata nafasi ya kumhoji huyu bwana nitamuuliza kama alimkuta huyu bibie bikra au vipi?
Lakini pia ile style yetu pendwa ya dog style wanaipigaje anamuweka kwenye kiti
 
Amejiwekea hazina kubwa sana,hawa watu wapo nao wapate faraja aliyewafanya hivi hakukosea alikuwa na sababu zake na ni wachache sana waliopewa macho ya kuliona hili.

Jiulize tu kijana hataki kuowa mwanamke mwenye sura ya kawaida au shape isiyojipanga vizuri na hana ulemavu wowote,huyo kijana hakuna siku utamsikia analia ooh mke wangu sijui katembea na bodaboda driver ila wale wanaochagua mguu mzuri sura nzuri ndiye utakuwa unalia kila siku.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Kuna uwalakini hapa,
Lakini hata jamaa mwenyewe kuna kama point fulani hazipo sawa..

Haya mahusiano yanaweza kuwa yapo kimaslahi zaidi huenda mwanaume kamtumia huyu mwanamke kama fursa..
Hawa watazunguka sana kwenye vyombo vya habari kwa ajili ya kuomba misaada ndio mana walisubiri wazae kwanza..
Lakini pia inawezekana wamependana kweli..

Nikioata nafasi ya kumhoji huyu bwana nitamuuliza kama alimkuta huyu bibie bikra au vipi?
Lakini pia ile style yetu pendwa ya dog style wanaipigaje anamuweka kwenye kiti
Tuna safari ndefu kufikia uchumi wa viwanda
 
Duh nlitegemea kukuta pongezi na maombi ya kutosha kwa hawa wanandoa ila imekua kinyume chake aisee

Namimi nkipata mrembo watasema ushirikina acha nijikalie kimya tu!

Sent from my iPhone using JamiiForums
Habri yako mkuu
 
Teh teh teh wahuni kama nyie mnanifuraishaga sana, wengi wamewaza kama wewe basi tu hawana ujasiri wa kuandika isipokuwa wahuni kama wewe.. [emoji16]
Wahuni sio watu wazuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
MLEMAVU-3.jpg

WAKATI wanandoa wasiyokuwa na ulemavu hata wa kidole gumba wakiishi maisha ya kutwangana makonde na kununiana, hali ni tofauti kwa kijana Timotheo Mwazembe aliyeoa mlemavu.

Maisha ya ndoa ya Timotheo (29), mkazi wa Ilemi jijini Mbeya aliyemuoa Salome Msomba (30) ambaye ni mlemavu yamekuwa gumzo kwa jinsi kijana huyo anavyompenda na kumheshimu mkewe.

Taarifa za wengi kushangazwa na ndoa hiyo zilipozidi kusambaa, Risasi Jumamosi likaona ni vyema kuitembelea familia hiyo iliyobahatika kupata mtoto wa kiume hivi karibuni ili kujua mawili matatu kuhusu maisha yao.

Akizungumza na Risasi Jumamosi, Timotheo alisema anajisikia fahari kuishi na mkewe ambaye ni mlemavu licha ya kupata vikwazo vingi kutoka kwa ndugu zake.

MLEMAVU-5.jpg

“Mimi na Salome tulikutana katika Kijiji cha Nanyala Wilaya ya Mbozi Mkoa wa Songwe nilipokuwa nafanya biashara ya kuuza mayai.

“Mtu ambaye nilikuwa namtegemea kunikusanyia mayai ni Salome, ndipo tukaanza urafiki mpaka hivi tumekuwa mume na mke,” alisema Timotheo.

Siku zote mapenzi ni mafuriko, huwezi kuyazuia kwa mikono; ndivyo ilivyokuwa kwa kijana huyo ambaye aliamua kuziba masikio asisikie kelele za ndugu na marafiki zake waliokuwa wakimuwekea pingamizi la kumuoa Salome kwa sababu ya ulemavu wake.

“Mwanzo tulikuwa tukiona kama Timotheo siyo wa kawaida lakini kwa jinsi wanavyoishi maisha ya furaha na kupendana wanatupa funzo kubwa katika maisha ya ndoa.

“Mimi nawaombea mema sana kwa Mungu, azidi kuwabariki na kuyafanya mepesi maisha yao,” alisema Samson kijana aliyejitambulisha kuwa ni rafiki wa Timotheo.

MLEMAVU-7.jpg

Kwa upande wake Salome akielezea historia fupi ya maisha yake alisema alipata elimu ya msingi, Katumba Wilaya ya Rungwe Mkoa wa Mbeya.

“Wakati nasubiri matokeo nilifiwa na wazazi wangu wote na kubaki yatima.

“Baada ya hapo alinichukua mama mdogo aliyekuwa akiishi eneo la Igurusi ambako nilifaulu kwenda kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari ya Jangwani Mkoa wa Dar es Salaam,” alisema Salome.

Aliongeza kuwa kutokana na mama yake mdogo kukosa fedha za kumsomesha alishindwa kuendelea na masomo.

Aidha alidai kuwa mama yake huyo alimshauri kurudia darasa la sita jambo ambalo hakulikubali hivyo kutakiwa na mama yake kuondoka na kwenda kuishi Itumba Ileje Mkoa wa Songwe.

Akiendelea na maisha Itumba, Salome anadai alitengwa na ndugu kwa madai kuwa amekataa kusoma na hivyo kuonekana kama mzigo wa familia.

MLEMAVU-2.jpg

“Maisha ya machungu yalipita, Mungu akanipatia Timotheo ambaye kusema kweli tunapendana na mtoto wetu tumempa jina la Emmanuel, hadi sasa ana miezi mitatu,” alisema Salome.

Kuhusu kukabiliana na changamoto za maisha, Salome alisema amekuwa akijishughulisha na uuzaji wa mkaa huku mumewe akifanya shughuli za udobi.

Pamoja na kuwepo kwa maisha ya furaha katika maisha yao, mwandishi wetu alishuhudia baadhi ya changamoto ambazo wanandoa hao wanakabiliana nazo.

Mfano katika kipindi hiki Timotheo amekuwa mstari wa mbele kusaidia malezi ya mtoto na kukosa muda wa kwenda kutafuta mahitaji ya familia.

Aidha, ukosefu wa baiskeli ya wenye ulemavu nayo ni tatizo ambalo linamlazimu Timotheo anapotaka kuongozana na mkewe kumpakiza kwenye baiskeli ya kawaida huku akiwa amembeba mtoto mgongoni.

Kutokana na changamoto hizo gazeti linawaomba wasamaria wema kujitokeza kuisaidia familia hiyo kwa hali na mali ili izidi kuwa na furaha na kujijenga zaidi kimaisha.
Maisha ni kumuomba Mungu furaha unaweza ukawa maskini ila ukajawa na furaha na kuishi vizuri hadi watu wakakushangaaaa Mungu akubariki kamanda!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna uwalakini hapa,
Lakini hata jamaa mwenyewe kuna kama point fulani hazipo sawa..

Haya mahusiano yanaweza kuwa yapo kimaslahi zaidi huenda mwanaume kamtumia huyu mwanamke kama fursa..
Hawa watazunguka sana kwenye vyombo vya habari kwa ajili ya kuomba misaada ndio mana walisubiri wazae kwanza..
Lakini pia inawezekana wamependana kweli..

Nikioata nafasi ya kumhoji huyu bwana nitamuuliza kama alimkuta huyu bibie bikra au vipi?
Lakini pia ile style yetu pendwa ya dog style wanaipigaje anamuweka kwenye kiti
Duh!!Mungu wangu

Jinsi tunavyowaza ndivyo tunavyokuwa. Unapooana bundi ni kitu gani cha kwanza kinakujia kichwani?!!

Kuna nchi nimesahau ila Ulaya jamaa mke wake hana miguu wala mikono. Imagine anambeba kama mtoto!! Hapiki, hafui wala kufanya usafi wa nyumbani. And what is that?! Uchawi?!

Haijalishi una hali gani maskini, tajiri, mlemavu, jambazi, mwizi, mchamungu kuna mtu yuko mahali kwa ajili yako. The one yuko tayari kuyabeba na kuyaficha madhaifu yako. Hakuna aliyeletwa duniani kwa bahati mbaya.

Okay nimezunguka sana ila to cut a story short tubadili kipaumbele chetu tunapofikiri. Positive itangulie halafu ndio ifuate Negative ikibidi badala ya kufanya kinyume chake.
 
Mentor wangu alienifundisha kuingia humu jamii forum amesema nisiwe serious saaaana kwa kila comments au threads nitazo kitana nazo...

Unataka kuniambia hapo kuna penzi la dhati kweli kutoka moyoni?

Wahenga walisema ndege wafananao huruka pamoja
 
Back
Top Bottom