Mbeya: Aliyeoa Yatima Mlemavu Gumzo, Wanavyoishi Utashangaa

Mbeya: Aliyeoa Yatima Mlemavu Gumzo, Wanavyoishi Utashangaa

Hao walemavu wa KIKE/KIUME wana STYLE ambazo UKIKUTANA NAE HUTOKI....hyo MIGUU ni FLEXIBLE ,,unaweza KUMKUNJA VYOYOTE,,,ktk UMBO LOLOTE,,,na usiipate style hiyo POPOTE...hata wewe UNGEPAGAWA

Sent using Jamii Forums mobile app

😂😂😂kama nakuelewa..nahis miguu anaweza irusha mgongon kwako akakubana akakusqueeze...😂😂😂... maisha haya
 
hahahahahhaaa.....aisee kwamba watu wanaumia mwenzao kaolewa😂😂hv kunbe kuolewa ni dili eh?🤗
It's just a matter of time, kuna muda ukifika kuolewa inakuwa dili.. sasa kama wewe ni single mother na huo muda umefika hapo ndo tunaanza kuona threads za kutafuta mume na hakuna vigezo vinavyowekwa.
 
😂😂😂😂😂....nami naanda yangu hapa...ninairekebisha mapungufu kidg kidg hapa niingie uwanjan...naamini hamtoniangusha😊😊 tusaidizane ada🙃
 
😂😂😂😂😂....nami naanda yangu hapa...ninairekebisha mapungufu kidg kidg hapa niingie uwanjan...naamini hamtoniangusha😊😊 tusaidizane ada🙃
😀😀😀😀..ngoja tuisubiri lakini kama na wewe ni Single Mum basi ujue utapata tabu sana.
 
Back
Top Bottom