Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,389
Uzuri ni kwamba hapo mke ni ngumu kucheat hapo ndoa lazima iwe na furaha
Sent by Diaspora
Hahahahaha...kwahiyo huyu mwana kachana nyavu mwenyewe?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri ni kwamba hapo mke ni ngumu kucheat hapo ndoa lazima iwe na furaha
Sent by Diaspora
subutuuu
Ila kuna wanaume wana roho ngumu sana...sasa utaelewa wale vichaa na vile wanaokuwa na mimba huwa wanakutana na watu wa aina hii.
Hongera kwao lkn
Sent using Jamii Forums mobile app
Vuta picha huyo Mwanaume angekua Mwanamke Mrembo na huyo Mlemavu angekua ndo huyo Mwanaume!Aiseee nimekosa cha kusema ,Mapenzi ya kweli bado yapo
Mungu awabariki
Sent using Jamii Forums mobile app
Vuta picha huyo Mwanaume angekua Mwanamke Mrembo na huyo Mlemavu angekua ndo huyo Mwanaume!
Then fikilia hiyo ndoa ingekuwepo?
huyu ana hisia sana alafu anaonekana mkubwa..walishajilia
Kwahiyo jamaa full mzuka anapiga ma-style yote hapo?..ukisikia kila mtu duniani ana kipawa chake ndio km huyu jamaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamume angekuwa Mkinga ningekuwa na wasiwasi wa mtoto kufikisha miaka saba...
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Huyo jamaa anatoka Ileje! Duh hapo 50/50[emoji23][emoji23][emoji23]huwajui wandali ww[emoji23][emoji23]
😊😊 yetu macho....hapa hakuna kbs ubarikio wa true lov hapaHuyo jamaa anatoka Ileje! Duh hapo 50/50
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
[emoji23][emoji23][emoji23] shoga añaikalia freshy tu
😂😂😂😷😷😷😷😤😤😤