Jinsi tunavyowaza ndivyo tunavyokuwa. Unapooana bundi ni kitu gani cha kwanza kinakujia kichwani?!!
Kuna nchi nimesahau ila Ulaya jamaa mke wake hana miguu wala mikono. Imagine anambeba kama mtoto!! Hapiki, hafui wala kufanya usafi wa nyumbani. And what is that?! Uchawi?!
Haijalishi una hali gani maskini, tajiri, mlemavu, jambazi, mwizi, mchamungu kuna mtu yuko mahali kwa ajili yako. The one yuko tayari kuyabeba na kuyaficha madhaifu yako. Hakuna aliyeletwa duniani kwa bahati mbaya.
Okay nimezunguka sana ila to cut a story short tubadili kipaumbele chetu tunapofikiri. Positive itangulie halafu ndio ifuate Negative ikibidi badala ya kufanya kinyume chake.