Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,720
Mualimu, naomba nsaada hapo kwenye apeche alolo, ndo nn hiyo?
labda nitumie mfano kbs uelewe...
huyu kaka anayesoma hii comment ni apeche alolo😂😂😂(maskini)...
nimetania tu blaza
Mualimu, naomba nsaada hapo kwenye apeche alolo, ndo nn hiyo?
Jamaa anasafiria nyota...hata mie nime-doubt hapo
tsa tsa tsa, haya bana 😁labda nitumie mfano kbs uelewe...
huyu kaka anayesoma hii comment ni apeche alolo😂😂😂(maskini)...
nimetania tu blaza
tsa tsa tsa, haya bana 😁
Sioe mchawi huyo njemba....mm akili yangu inakataa kabisa...iko kitu hapo
Bado kuna watu watataka kujua jamaa kapendea nini hapo .na watataka kutest ili wapate utofautiUzuri ni kwamba hapo mke ni ngumu kucheat hapo ndoa lazima iwe na furaha
Sent by Diaspora
Uko sawa kabisa. Mbali na jokes pia haya mambo yanatokea sana ktk baadhi ya mikoa.Wakati nasoma hii habari hadi nilipoimaliza nilipata hamasa sana, lakini nimevunjwa moyo kwa maoni ya wachangiaji walio wengi!
Watu wamekosa ustaarabu na utu kwa kiwango cha kutisha, nimesikitika sana.
Yeyote uliyechangia kwa maneno ya kejeli ktk thread hii... imagine Salome ni ndugu yako na Mungu kamjaalia mwanaume tena kijana mzuri tu wa kumpenda pasi na kujali hali yake, ungesema sawasawa na ulichokisema hapa? Kwanini mmekuwa wanyama kiasi hiki?
Kwanini mnajisahaulisha Mungu wetu ni huyuhuyu mmoja aliyempa Salome ulemavu na sisi utimilifu?
Hiki kiburi na majivuno kinatoka wapi ilhali hakuna aliye na uhakika wa kesho yake ikoje?
Mimi nimewapenda, nimefurahi zaidi kuona wapo wanaume wenye maoni chanya juu ya ulemavu. Timotheo anaweza kuwa na elimu ndogo kuliko wanaume wengi waliochangia hapa lakini ameonesha uelewa mkubwa sana.
Mungu awasaidie kutatua tatizo lao la kipato pamoja na kudumisha upendo baina yao, kwa maana huu ndio upendo wa kweli.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hapana, usihofu.umenuna😂😂 usinune..napenda utani
😤Hapana, usihofu.
Wahuni sio watu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hahahaha....na jamaa atakuwa anamiliki/anakula papuchi ya peke yake.
Hizo ni imani potofu sana....kwa hiyo mlemavu hana haki ya kuolewa?[emoji23][emoji23] mie kwa jicho la kihenga nahis huyu jamaa amemuoa kwa force za ushirikina..mbeya sio kbs..akiaminjshwa na mganga atakuwa tajiri
Hizo ni imani potofu sana....kwa hiyo mlemavu hana haki ya kuolewa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bure kabisaNdio mawazo ya watanzania wa siku hizi