Amour justine
Member
- Apr 11, 2018
- 90
- 57
Urusi ni mziki mwingine bhana,kwa marekani inajiona ni taifa kubwa lisilowezekana kwa chochote ila atafakari tu kua ubabe ukizidi watu wanamchoka
Putin hatamwacha mtu salama, maandishi ya kanga tutayasoma sana kipindi cha utawala wa mawigi, au alijua anaongelea facebookukweli haukai gizani
Putin hatamwacha mtu salama, maandishi ya kanga tutayasoma sana kipindi cha utawala wa mawigi, au alijua anaongelea facebook
hatarikuna machine inaitwa B 265 krasnodar ipo majini inawasubiri..muuda imejichimbia Mediterranean seaPutin hatamwacha mtu salama, maandishi ya kanga tutayasoma sana kipindi cha utawala wa mawigi, au alijua anaongelea facebook
mapanki kamalizana nae kwaniNina uhakika SAA hii Trump atakuwa anajutia mkwara wake wa kuitishia urusi kuwa ijiandae maana ataishambulia Syria kwa makombora mazuri, mapya na janja!! (nice, new and smart)). Saa hii anajiuliza nisiposhambulia kama nilivyoahidi dunia yote wataniona mwoga! na nikishambulia maana yake nitegemee urusi kujibu mapigo kwa nguvu zote kama walivyoonya!!
Kitakachotokea ni marekani kutafuta upenyo wa kula kona kistaarabu kwa kuja na ngonjera hii: "Tumethibitisha kuwa hakuna silaha za kemikali alizotumia Syria kwa hiyo ule mpango wa kuishambulia tumeusitisha". Kwa namna hiyo atakuwa amekula kona kiaina!!!
Mshirika wake namba moja uingereza keshaonyesha dalili za kuingia mitini tayari na amesema itabidi marekani iwe na uthibitisho kwanza!!
Timu trump jiandaeni kisaikologia kumwona kinara wenu akila kona!! Kwanza alisema masaa 48 na yameisha!! Mdogo wake ufaransa akasema masaa 72 watakuwa wameshambulia nayo yanaishia!!! Timu trump jiandaeni kwa fedheha!!! Huwezi kumtishia nyau Putin!!
Kwa mapanki alikula kona pia!! Alimtishia kwa kuamru kikosi cha meli za kivita ziende huko pwani ya Korea, Kiduku akamwambia zikivuka mstari Fulani nitazizamisha!! Trump akakumbuka jinsi NK ilivyozamisha manoari ya kivita ya Korea kaskazini Mara tu ilipovuka mpaka na kuingia kwenye maji yake akaona heri aibu kuliko fedheha meli zake zikala kona mpaka leo!!!mapanki kamalizana nae kwani
Jinsi Putin alivyowatibulia
===
Labda huyo Trump ndo anafikiri Syria hawaishi watu!! Anapotishia kushambulia unafikiri atashambulia na kuua mbu au?Kabsa kiongozi mm nahisi kuna baadhi yetu wanahisi kuwa Syria hawaishi binadamu kama sisi na wenye damu na malengo kama yetu. Inasikitisha kuona watoto wasiokuwa na hatia wakiangamia..
Hakuna cha mamluki wala takataka gani, nimehama rasmi na nimekuja na siri nzito kuhusu mzee MawigiKhaaa....
Usije kuwa mamluki mkuu...
Kichaa wa kuachilia nyuklia kwa kizazi cha sasa hajazaliwa bado!!sasa hivi kila mtu ana nyuklia ikitokea kila mtu akaachia lakwake unadhani dunia itakuwepo?
Halafu haiingii akilini kutumia silaha za sumu kwa MTU uliyemshinda tayari na anakimbia! Silaha za sumu siku zote ni silaha ya mwisho kwa MTU aliyeshindwa vita! Kwa mantiki hiyo kama kweli kuna silaha za sumu zimetumika basi wale waasi ndo wamezitumia ili kumchafua Syria!!Sasa kwanin atweet kuichapa Syria huku akijua aliye nyuma ya Assad?
Hv hata kama ni kweli Assad ametumia sumu, solution ni kuingia vitan kuua maelfu ya watu?
Kweli mkuu, Dunia yetu hii sijui itabadilika lini? Hata kufufuka kwa Yesu walisema wanafunzi wake wamemwiba..Halafu haiingii akilini kutumia silaha za sumu kwa MTU uliyemshinda tayari na anakimbia! Silaha za sumu siku zote ni silaha ya mwisho kwa MTU aliyeshindwa vita! Kwa mantiki hiyo kama kweli kuna silaha za sumu zimetumika basi wale waasi ndo wamezitumia ili kumchafua Syria!!
Mkuu, hilo nalijua kuwa Wasyria wengi wameteseka kwa mda mrefu sana, lakini hata wakati wa WWI na WWII watu walikuwa na pande walizoziunga mkono japo zaidi ya watu 100 milion walikufa.Ukishabikia vita lazima uzingatie haki kwani kuna gharama ya maisha kibinaadamu hivo lazima pasiwe na makosa au vita iwe ni njia ya mwisho. Nugu @nkobhe255 umeonesha kuhama timu bila kujali bila kujali upande unao ushabikia unapigania haki au batili?
tutajifunza kujitegemea na akili zitafunguka na kujenga viwanda vyetu na mnaojiita wasomi tz mtaacha taarabu na kujikita kwenye maendeleo ya kweliBado nawaza jamii yetu haijiwezi, maana marekani amefadhili kila kitu yaani mgonjwa gharama yake ni kuamka na kukaa foleni kuchukua dawa yaani imepunguza mrundikano wa wagonjwa waliolazwa kwa kuzidiwa, sasa ikitokea kweli mtiti wa vita ukaanza na ukawa mgumu kwa marekani kaamua kujilinda kuhali na mali, kweli hizi dawa wengi watashindwa kuzimudu ndipo vita vitapiganwa syria, marekani na urusi vifo vitatokea huku.
nimekukubali na ule ndiyo uanaumeAfu Putin hatafutagi sijui allies yeye anaenda ukiamua kujiunga nae haya ukiamua kuacha poa mzigo unaendelea kama kawa.
Siyo leo, wasomi wa sasa wanaacha taaruma zao wanakimbilia kwenye siasa utafikiri taifa na maendeleo yanasonga mbele kwa siasatutajifunza kujitegemea na akili zitafunguka na kujenga viwanda vyetu na mnaojiita wasomi tz mtaacha taarabu na kujikita kwenye maendeleo ya kweli