Mbele ya Urusi, Marekani lazima ale kona!

Mbele ya Urusi, Marekani lazima ale kona!

Mvaa Mawigi kwa sasa choo cha Whitehouse kinakaribia kujaa, any time ataanza kumgeukia Mvimba macho(China) kuwa anamsaidia Mbilikimo.
Ha ha haa!, na bado hajasikia kiduku anasemaje kuhusu kushiriki kwake, atajutia mipasho ya kwenye serikali yake kuitoa kwa watu walio smart.
 
Habari za asubuhi ndugu na marafiki, nadhabu mko njema na mungu anazidi kuwasaidia.

Kwa kweli mimi(nkobhe255) nilikuwa bonge la shabiki kwa udharimu unaofanywa na Marekani kwa baadhi ya mataifa madogo duniani. Marekani alijulikana kama mbabe wa dunia ambaye alikuwa na mamlaka ya kufanya chochote kile na asifanywe chochote kile na yeyote yule including UN. Lakini ubabe wa Marekani kimataifa umefikia mwisho siku hizi za karibuni. Nitatumia mifano ifuatayo:

(1)Mgogoro na N. Korea. Kila mtu alifuatilia juu ya sakata lililotishia kuzuka kwa vita kati ya USA na N. Korea, ilifikia kipindi USA wakapeleka kila aina ya Silaha katika mipaka ya N. Korea. Hapa niliamini huo utakuwa ndo mwisho wa N. Korea. Lakini kila mtu alijionea jinsi USA alipoamua kuyarudisha majeshi yake nyuma baada ya kupima urefu wa maji. Hapa niliumia na nilitumia zaidi ya siku 2 bila kula wala kunywa, mpaka watu wakanishangaa.

(2)Mgogoro wa Ukraine. Kabla Urusi haijainyakua CRIMEA ambalo ni jimbo la UKRAINE lililopo mpakani na Urusi, tuliona jinsi Marekani alivyotishia kusambaratisha utawala wa CREMRINE, Mpaka ikafikia hatua bunge la CONGRESS la Marekani kupitisha mswaada wa kupeleka silaha nzito kule Ukraine, lakini kila mtu anajua kilichotokea, mpaka sasa jimbo hilo la Crimea lilishanyakuliwa na Urusi.

(3)Mgogoro wa Syria. Yaani hapa ndo nimechanganyikiwa kabisa, hii ni baada ya Marekani kuahidi majibu kwa serikali aliyoiita dhalimu duniani ndani ya saa 24 to 48, halafu baadae akatweet eti baada ya saa 72.Chakushangaza ni baada ya haya masaa 72 kuyoyoma ndipo washirika wa Marekani walipoona mambo ni mazito wote wakakacha. Mfano, mpaka mda huu, UK, France na Germany wamegoma kufanya shambulizi la pamoja huko Syria wakishirikiana na Marekani. Kwakweli nimechanganyikiwa kinoma, yaani USA ndo anatufanyia sisi TEAM mawigi hivi? Nimechoka kuumia aisee, sasa lasmi najiunga na TEAM mbilikimo(Putin). Huyu USA amezidiwa na Israel, Israel kamuanzishia ili kumuonyesha njia ila cha kushangaza USA kabweka weeeee mwishowe akarudi nyuma, Pumbavu TEAM Mawigi na HONGERA TEAM Mbilikimo(Putin) kwa ushindi.

MY TAKE.

Ukweli ni kwamba, japo Marekani wana Silaha nyingi na nzito lakini ni waoga kupigana vita, ndo maana wanashindwa kuthubutu chochote, Trump kashindwa kuamrisha tu? Mbona Putin kashayapa makeshi yake yote ruhusa na kujibu mapigo? Kwanini Mawigi kashindwa?

Huu ubabe wa Marekani kila mwaka unaenda unapungua, kijeshi na kiuchumi. Baada ya hili, washirika wengi wa Marekani wataanza kukimbilia Urusi ili kujihakikishia usalama wao baada ya kushindwa kuona msaada wa Marekani. Pia mataifa mengi yaanza kukimbilia China kiuchumi ili kulinda masoko yake ya fedha duniani hapo baadae.

Bye bye Team Mawigi, nadhani teaam Mbilikimo mtanikaribisha.
Unachekesha wewe
 
tusishabikie vita wanaoumia ni wanawake na watoto
Mwaka huu Team Mawigi hamna neno tena, mmebaki kuangilia vifo, kwani mlipoipiga Iraq, Libya, Yemen, Afghanistan hao watoto walikuwa hawafi? Baada ya kupigwa za uso ndo mnayaona hayo? Subirini kichapo au mfyate mkia. Team Mbilikimo oyeeeeee!!!!!!
 
Oyeeeee!!!
 
Kweli kaka, mwenzake Mbilikimo hata hiyo tweeter haijui, kwanza Mbilikimo (putin) anakwambia hajawahi kumiliki hata Smartphone yoyote, sasa hiyo tweeter aijulie wapi, Hongereni Team Mbilikimo(putin) kwa ushindi dhidi ya MAWIGI. But naomba mnipokee nimehama Rasmi from team Mawigi to Team Mbilikimo.
Baki huko huko mkuu
 
Hahah!! Karibu sana kundini huku hatuimbi taarabu ni action tu
Nashukuru sana bro, lakini mimi ninapendekeza kuwa hivi sisi Team Mbilikimo mnaonaje kabisa badala ya kuishia kijimbo kimoja tu Cha Crimea, tuchukue Ukraine yote kabisa? Make sioni atakayebisha kwa vitendo, labda kwa ngonjera za kanga kama afanyavyo Mawigi huko sijui tweeter.
 
Point kubwa ni kuwa Marekani hata siku moja hataki vita ipigwe kwenye ardhi yake.

Sasa na vitisho vya Putin na Kiduku kuwa na silaha zenye zenye uwezo wa kupiga US mainland within minutes (Intercontinental Balistic Missiles) na zenye uwezo wa kukwepa radar detection ndio jambo ambalo linawakosesha raha na kufyata mkia.

Pia madai ya Kiduku kuwa na Nuclear war heads na ICBMs kunawanyima usingizi US maana wanajua wakilianzisha tu jamaa hawatajibizana nao kwenye uwanja wa mapambano bali wata focus US mainland ndio pawe uwanja wa mapambano na pawe totally devastated.

Ni raisi gani anaweza kutake risk zote hizo? Hakuna labda awe taahira.
 
Sasa kwanin atweet kuichapa Syria huku akijua aliye nyuma ya Assad?

Hv hata kama ni kweli Assad ametumia sumu, solution ni kuingia vitan kuua maelfu ya watu?
 
USA kwa sasa hawana ubavu tena.
Katika ule mkasa wa NK na USA, PUTIN alimwambia TRUMP kuwa, afanye chochote anachoweza lakini si kuivamia NK. TRUMP aliambiwa kuwa pindi tu atakapoivamia NK, awe tayari kuupokea MSIBA mkuu katika nchi yake(USA).
Maneno hayo ya PUTIN ndiyo yaliyomfanya TRUMP kurudisha nyuma majeshi yake na kuufyata mkia mpaka sasa.
PUTIN yupo vizuri sana kwa sasa.
 
Syria ni uwanja wa ku-test silaha, tuwaache wakubwa waendelee kujaribu silaha zao
 
Hatuna pa kuponea, hasa gonjwa hili la ukimwi linalohusu jamii nzima donor mkuu ni mmarekani sijui itakuwaje bajeti akiipeleka vitani
Hawawezi kufanya ivyo. Kwa sababu madawa ya binadamu, kwao ni bihashara sema gharama zitapanda bei, watabaki watakaoweza kugharamia. Bora tufe tuuu. Wabaki wachache, Maana kwa dunia yenye ushindani unaangalia pesa zaidi kuliko UTU. Watu wanamfurahia RUSSIA, bila kusahau platform tunayoiishi ni yaa Marekani
 
Bado nawaza jamii yetu haijiwezi, maana marekani amefadhili kila kitu yaani mgonjwa gharama yake ni kuamka na kukaa foleni kuchukua dawa yaani imepunguza mrundikano wa wagonjwa waliolazwa kwa kuzidiwa, sasa ikitokea kweli mtiti wa vita ukaanza na ukawa mgumu kwa marekani kaamua kujilinda kuhali na mali, kweli hizi dawa wengi watashindwa kuzimudu ndipo vita vitapiganwa syria, marekani na urusi vifo vitatokea huku.
 
USA balaaa lingineee aseeeh,,,,, ngojaaa tuoneeee
 
Back
Top Bottom