Kwa kweli sisi waafrika hususani Tz tunatakiwa tuombe haya mambo yaishie kwa maneno hivihivi, tusije tukafurahia kuona wanavyopigana mwisho wa siku ndugu na jamaa zetu wakawa wanapata shida kama na wao wako kwenye nchi zinazopigana. Yaani tutapata athari nyingi tu kwa hivi vita maana haitakuwa syria na Marekani bali itakuwa ni vita vya nchi zenye nguvu kubwa dunianiHilo la ukimwi ni Miongoni mwa mambo mengi wanayotufadhili ndio maana nadhani si vizuri kushabikia hii mambo ya vita. Vile vile hata direct effeft(s) za hii vita zinaweza kutuumiza.