Mbele ya Urusi, Marekani lazima ale kona!

Mbele ya Urusi, Marekani lazima ale kona!

Urussi sio Afghanistan mjomba...eti majeshi ya urussi yajisahau hivi unajua unachokisema
Sasa wewe unajuwa nilicho maanisha, Jaribu kufuatilia kuhusu mashambulizi yanakuwa ya ghafla. Hivi Israel aliposhambulia huko Syria hivi karibun na kuua wanajeshi wa 15 wa Iran unadhani Urusi hakuwepo huko Syria so ungeweza kutungua makombora yote ya Israel.
 
Huu uzi nahisi umetolewa na kijana wa darasa la saba, tena failure. Haelewi kabisa implications za vita ila anasumbuliwa tu na ushabiki maandazi.

Majuzi tu kwenye ile suspected chemical attack ya awali mbona Syria ilishambuliwa sasa hizo S400 zilienda wapi siku hiyo au hata Israel walipowashambulia majuzi hizo "Sophisticated Air Defense Systems" mbona hazikuzuia shambulizi.

Watanzania wanapenda sana ushabik maandazi. Hao American Military mbona wapo kwenye ardhi ya Syria muda mrefu mbona siku zote hizo wasivurumishwe na The Russian Red Army? Mbona hamfikirii hilo? Kelele ndio nyingi tu humu for nothing.
Kaa kimya mkuu,
 
Nina uhakika SAA hii Trump atakuwa anajutia mkwara wake wa kuitishia urusi kuwa ijiandae maana ataishambulia Syria kwa makombora mazuri, mapya na janja!! (nice, new and smart)). Saa hii anajiuliza nisiposhambulia kama nilivyoahidi dunia yote wataniona mwoga! na nikishambulia maana yake nitegemee urusi kujibu mapigo kwa nguvu zote kama walivyoonya!!
Kitakachotokea ni marekani kutafuta upenyo wa kula kona kistaarabu kwa kuja na ngonjera hii: "Tumethibitisha kuwa hakuna silaha za kemikali alizotumia Syria kwa hiyo ule mpango wa kuishambulia tumeusitisha". Kwa namna hiyo atakuwa amekula kona kiaina!!!
Mshirika wake namba moja uingereza keshaonyesha dalili za kuingia mitini tayari na amesema itabidi marekani iwe na uthibitisho kwanza!!
Timu trump jiandaeni kisaikologia kumwona kinara wenu akila kona!! Kwanza alisema masaa 48 na yameisha!! Mdogo wake ufaransa akasema masaa 72 watakuwa wameshambulia nayo yanaishia!!! Timu trump jiandaeni kwa fedheha!!! Huwezi kumtishia nyau Putin!!

Niaje arifu? Umelala? Hebu washa tivii yako hapo basi....teh teh
 
Simpendi Trump lakini ukweli ni kwamba Marekani si mchezo. Kuna hawa watoto humu ndani wanasikitisha sana...hawajui chochote lakini kwa midomo ni uswahili mtupu.

Hao mimi nilishachoka kubishana nao!

Military might ya Marekani ni second to none. And that’s also reflected in their defense budget.
 
Nina uhakika SAA hii Trump atakuwa anajutia mkwara wake wa kuitishia urusi kuwa ijiandae maana ataishambulia Syria kwa makombora mazuri, mapya na janja!! (nice, new and smart)). Saa hii anajiuliza nisiposhambulia kama nilivyoahidi dunia yote wataniona mwoga! na nikishambulia maana yake nitegemee urusi kujibu mapigo kwa nguvu zote kama walivyoonya!!
Kitakachotokea ni marekani kutafuta upenyo wa kula kona kistaarabu kwa kuja na ngonjera hii: "Tumethibitisha kuwa hakuna silaha za kemikali alizotumia Syria kwa hiyo ule mpango wa kuishambulia tumeusitisha". Kwa namna hiyo atakuwa amekula kona kiaina!!!
Mshirika wake namba moja uingereza keshaonyesha dalili za kuingia mitini tayari na amesema itabidi marekani iwe na uthibitisho kwanza!!
Timu trump jiandaeni kisaikologia kumwona kinara wenu akila kona!! Kwanza alisema masaa 48 na yameisha!! Mdogo wake ufaransa akasema masaa 72 watakuwa wameshambulia nayo yanaishia!!! Timu trump jiandaeni kwa fedheha!!! Huwezi kumtishia nyau Putin!!
Bado umelala?
 
timu Russia hamna jipya..... Hivi yale machumachuma yenu s400 inamaana jana hamkuyawasha au umeme huko ulikuwa hakuna?.. Maana sio kwa kudundwa kule lol
 
Marekani bila vikwazo na kuomba support kutoka kwa EU ana jipya.......ki ufupi kama inatokea battle ya kueleweka marekani anakaa mapema sana
 
Bado umelala?
The US had communicated with Russia ahead of the strikes through the normal procedures of their "deconfliction" hotline, which is used to prevent accidental clashes in a war zone. Trump kampigia magoti Putin kumwomba amruhusu ashambulie kwa masharti kuwa ni shambulizi la Mara moja tu lisilozidi SAA moja na asijichanganye kuingia maeneo yenye silaha za Russia!! Hata hivyo makombora 71 kati ya 103 yamedunguliwa na silaha za kizamani sana za soviet za miaka ya sabini zinazotumiwa na Syria yaani S125!!! Aibu!!!
 
timu Russia hamna jipya..... Hivi yale machumachuma yenu s400 inamaana jana hamkuyawasha au umeme huko ulikuwa hakuna?.. Maana sio kwa kudundwa kule lol
Kwa taarifa yako S400 iko deployed maeneo ambako kuna vituo vya urusi nchi Syria na hakujichanganya maaeneo.
 
Back
Top Bottom