Kama nilivyosema kwenye Uzi huu kuwa mzee mzima Trump lazima ale kona mbele ya Putin, sasa yametimia! keshakula kona tayari! Sasa hivi anasema hajawahi kusema ni lini ataishambulia Syria, wakati dunia nzima ilimsikia akisema atashambulia ndani ya masaa 48!!! Mzee mzima kula kona aibu!! Msikie Trump anavyosema sasa:
US President Donald Trump, who said on Wednesday that missiles were "coming", has now tweeted that he "never said when".
Watu husema ukiamua kuwa mwongo basi angalau uwe unakumbuka Yale uliyosema!!! Yule wa ufaransa alitoa Massa 72 na yameshapita kitambo!!!!
Trump anachoweza kufanya dhidi ya urusi ni kuiwekea vikwazo vya kiuchumi, lakini kwa habari ya ulingoni Urusi ni MAJI marefu sana!! hayaogeleki!!!