Naweza kukubaliana na wewe, kijana ana changamoto, ajirekebishe, umaarufu unakuja tu kwa kuandika vitu vinavyogusa maisha ya watu na kuchangia mada vizuri. Sio kutengeneza personalities tofauti.Mzee, vijana wa hivyo wengi unakuta wanawashwa kutafuta engagement na umaarufu, haitoshi kabisa akaamua kujiita eleven jina la kike.
Hakuna mtu hapo
Kwa akili zake ataenda kuwagombeza mods ili na yeye apeweMr. Nanii while you were away jf paid all members 200k for bein respectful and humble. While you were away we used to drink 3beers each from jf. While you were away we held a meeting on how to get Seran back, ni hayo tu
Bwashee, hivi wanalipwa?Naweza kukubaliana na wewe, kijana ana changamoto, ajirekebishe, umaarufu unakuja tu kwa kuandika vitu vinavyogusa maisha ya watu na kuchangia mada vizuri. Sio kutengeneza personalities tofauti.
Work on you, usishindane..humu hakuna mashindano na hutakuja kutangazwa mshindi siku moja.Actually, nilibugi mimi sio mtu wa namna hiyoo. Nawalijua tu maana it isn't my thing hizo tabia sio zangu kabisa ni vile tu sometimes we look for ways to justify our egos
Ni kweli kuna members wengi sana wataniona kivingine na there is nothing I can do about it. I know who I am and that's enough
Sijui mangiii!Bwashee, hivi wanalipwa?
acha utani bro uyasemayo ya ukweli?Kwa akili zake ataenda kuwagombeza mods ili na yeye apewe
Jibu swali, kwa nini unakuwa na IDs mbili?Issue ilikuwa hasa hasa engaging with the wrong ones. Hapo ndo nilibugi
acha utani bro uyasemayo ya ukweli
Ni uoga wa maisha tu, mbona wengine sisi tunaanika utupu wa akili zetu kwenye ID moja tu mwanzo hadi mwisho.Hii JF kuna vijitu vinapenda kujipa umuhimu ambao wala havina,
Kumbe JF mtu anaweza akawa anaandika ujinga ujinga tu kila dakika,halafu akilini mwake anajiaminisha kua yeye ni bonge la GT ! Kumbe watu wanamchora tu.
Kamand Poor Brain njoo uthibitisheSio yeye tu kuna wapo wengi tu ila they fail to admit
Nimekuuliza wewe na wengine wenye hiyo tabia, huenda kuna kitu mnapata na hatujui.Ile ilikuwa kama back up, au nikitaka kuanzisha vitu personal ila haina haja the filter nilikuwa nadhani ipo ilikuwa illusion. Kuna wengi tu humu wana ID nyingi
πππ You are so funny!Mr. Nanii while you were away jf paid all members 200k for bein respectful and humble. While you were away we used to drink 3beers each from jf. While you were away we held a meeting on how to get Seran back, ni hayo tu
Kuna kitu huwa napenda kujiona mimi ni wa muhimu sana. Na ni najua mimi ni wa muhimu. Kila mtu anapaswa kuwa hivyo. Usipo jipa umuhimu nani atakupa?Hii JF kuna vijitu vinapenda kujipa umuhimu ambao wala havina,
Kumbe JF mtu anaweza akawa anaandika ujinga ujinga tu kila dakika,halafu akilini mwake anajiaminisha kua yeye ni bonge la GT ! Kumbe watu wanamchora tu.