Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,514
- 42,649
- Thread starter
- #121
Ok,ukweli ni upi?
Hata wakiwachukua American Marines kusimamia uchaguzi na masanduku ya kura. CCM itashinda tu kwa almost 80 per cent
Kama ingekuwa ni hivyo leo hii tungekuwa na tume huru ya uchaguzi. Wananchi walishaamka boss.
Isipokuwepo the so called "TUME HURU YA UCHAGUZI" mtafanyaje - mtasusia uchaguzi au mtashirki kama ambavyo mmekuwa mnafanya miaka yote ili kupata hiyo RUZUKU?Ukweli unafahamika kuwa wapiga kura wa upinzani matumaini yao yako wapi. Cha muhimu ni kudai tume huru ya uchaguzi kwa nguvu zote, iwe jua iwe mvua.
Nadhani Mbatia na Lipumba wasitutoe kwenye hoja yetu ya msingi, kwamba uchaguzi huu ni lazima iwepo tume huru ya uchaguzi. Mbatia na Lipumba wanajua fika hata kukiwa na tume huru ya uchaguzi wao hawana uhakika wa kupata viti vya ubunge, ila wanajua fika wakitumika na Magufuli, wana uhakika wangalau wa kupata viti kadhaa kwa kazi ya kumtumikia shetani. Seif haikuwa rahisi kuingia hiyo hadaa, maana anajua anaungwa mkono wa kweli na wananchi wake, hivyo hahitaji hisani ya Magufuli. Waachwe wote wanaotaka kwenda kupata madaraka kwa hisani ya Magufuli waende, tubaki sisi ambao tunataka nafasi kwa ridhaa ya wananchi na siyo hisani ya mtawala.
HAKUNA CHAMA WALA MTU WALA "NGO" YA KUGOMEA UCHAGUZI. HIZO NI NDOTO ZA MCHANA, KWANI HII NDIYO MARA YA KWANZA KUSIKIA WIMBO HUU WA KUDAI "TUME HURU YA UCHAGUZI"? MBONA WATANZANIA MNASAHAU MAMBO MAPEMA HIVI? HAKUNA MGOMAJI - HII NI PROPOSAL YA KUWATOA WAZUNGU PESA KABLA YA 2020 GENERAL ELECTIONS IN TANZANIA.Wanachokifanya CCM wanawapa nguvu Vyama vingine kama hivyo vya Nccr,CUF ili Chadema ikigoma mpk tume huru ya uchaguzi ipatikane then CUF,Nccr,Act wataendelea na uchaguzi kama kawaida na kupewa vijimbo viwili vitatu then chadema wakilalamika huko kwny jumuiya za kimataifa CCM itasema mbona wenzao wameshiriki uchaguzi fresh tu.
Inabidi kui counter attack hii strategy ya CCM kwa mbinu za kimedani.
Isipokuwepo the so called "TUME HURU YA UCHAGUZI" mtafanyaje - mtasusia uchaguzi au mtashirki kama ambavyo mmekuwa mnafanya miaka yote ili kupata hiyo RUZUKU?
HAKUNA CHAMA WALA MTU WALA "NGO" YA KUGOMEA UCHAGUZI. HIZO NI NDOTO ZA MCHANA, KWANI HII NDIYO MARA YA KWANZA KUSIKIA WIMBO HUU WA KUDAI "TUME HURU YA UCHAGUZI"? MBONA WATANZANIA MNASAHAU MAMBO MAPEMA HIVI? HAKUNA MGOMAJI - HII NI PROPOSAL YA KUWATOA WAZUNGU PESA KABLA YA 2020 GENERAL ELECTIONS IN TANZANIA.
UCHAGUZI WA SM HAUNA RUZUKU WEWE! Anything can happen in those circumstances! Ule uchaguzi wa marudio! Walijua hawapati KITU, ndiyo maana walijifanya kususa. Wale waliokuwa wakiwategemea wawasaidie, mbona waliwatosa!? Wale WANA PERMANENT INTERESTS ONLY SIYO PERMANENT FRIENDS mister! Chunga sana ndugu watu hao!Mbona uchaguzi wa SM za mitaa vyama vilisusia? Mbona Zanzibar CUF ya Maalim walisusia uchaguzi wa kihuni? Mzungu anatoaje pesa kwa vyama kususia uchaguzi wa kihuni? Unaongea utoto gani dogo?
UCHAGUZI WA SM HAUNA RUZUKU WEWE! Anything can happen in those circumstances! Ule uchaguzi wa marudio! Walijua hawapati KITU, ndiyo maana walijifanya kususa. Wale waliokuwa wakiwategemea wawasaidie, mbona waliwatosa!? Wale WANA PERMANENT INTERESTS ONLY SIYO PERMANENT FRIENDS mister! Chunga sana ndugu watu hao!
UCHAGUZI WA SM HAUNA RUZUKU WEWE! Anything can happen in those circumstances! Ule uchaguziwa marudio/ Walijua hawapati KITU, ndiyo maana walijifanya kususa. Wale waliokuwa wakiwategemea wawasaidie, mbona waliwatosa!? Wale WANA PERMANENT INTERESTS ONLY SIYO PERMANENT FRIENDS mister! Chunga sana ndugu watu hao!
Hello Jf
Napenda kuandika kupitia JF kutuma salamu kwa Mbatia na kundi lake kuwa hii endorsement yao ni kiss of death!
Kuna taarifa kwamba Mbatia na Lipumba waliyakubali mapendekezo yote ya JIWE bila masharti wala marekebisho isipokua kwa maalim Seif peke yake.
Napenda nimkumbushe Mbatia kwamba akionacho sasa si matakwa ya akina Mbowe au yeyote mwana mageuzi isipokua ni nguvu ya wakati!
Wakati una nguvu kuliko vifaru vya jeshi na zana zote za vita!! Huu wakati ni muafaka kwa wana mageuzi kuvuna walichopanda na si kukimbia chombo na kujitosa kwa CCM!!
CCM kiuhalisia haipo tena isipokua inaning'inia kwenye kamba nyepesi iitwayo DOLA.
Kukimbilia CCM kwa majira haya ni kama kukimbilia kifo!!
Hii task aliyopewa Mbatia kamwe asifikiri atashinda na NCCR kuibuka tena kamwe asifikiri hivyo.
Hii endorsement kwake is a kiss of death na itampoteza mazima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tell us first, if you did react when Lowasa was absorbed by Chadema and became party's presidential candidate under the pretext of kubadili gea angani or you just remained quiet because it was on your favour, now look how Chadema is decomposing as an effect ya kubadili gia angani - a phenomenon that you can't comprehend.
Just leave Mbatia alone, your concoctions can't reach any where.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kuwa serious ndugu. Ccm hii unayodai imewatumikia vyema wananchi lakini uchaguzi japo.wa serikali.za mitaa imekataa uwe huru ili wananchi watoe hukumu ya kweli. Huwezi kuwa serious ndugu. Samahani sana lakini hapa ni sawa na kuwatukana wananchi.Sisi tusiofungamana na upande wowote ngoja tusubili mtanange, lakini kwa CCM hii ambayo imeonyesha uchapakazi uliotukuka hata kama muwe na tume kama ya kenya (IEBC) kushinda ni ngumu kwa wapinzani.
Mkuu, hii ni Mada bora kabisa ya mwaka, hakika wakati utaongeaHello Jf
Napenda kuandika kupitia JF kutuma salamu kwa Mbatia na kundi lake kuwa hii endorsement yao ni kiss of death!
Kuna taarifa kwamba Mbatia na Lipumba waliyakubali mapendekezo yote ya JIWE bila masharti wala marekebisho isipokua kwa maalim Seif peke yake.
Napenda nimkumbushe Mbatia kwamba akionacho sasa si matakwa ya akina Mbowe au yeyote mwana mageuzi isipokua ni nguvu ya wakati!
Wakati una nguvu kuliko vifaru vya jeshi na zana zote za vita!! Huu wakati ni muafaka kwa wana mageuzi kuvuna walichopanda na si kukimbia chombo na kujitosa kwa CCM!!
CCM kiuhalisia haipo tena isipokua inaning'inia kwenye kamba nyepesi iitwayo DOLA.
Kukimbilia CCM kwa majira haya ni kama kukimbilia kifo!!
Hii task aliyopewa Mbatia kamwe asifikiri atashinda na NCCR kuibuka tena kamwe asifikiri hivyo.
Hii endorsement kwake is a kiss of death na itampoteza mazima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mwendawazimu hana hizo guts . Ni kunguru tu huyo.Kama hali iko hivo, mshauri jiwe afanye mchakato wa tume huru ili audhihirishie ulimwengu kuwa anashinda kihalali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inarudi kuwa hivyo ulivyoandika kwa nguvu ya wananchi au yule mwendawazimu aliyepewa rungu kwenye jumba la kioo?Ndio anawapukutisha hivyo mdogo mdogo
Nccr inarudi katika viwango vyake vya 1995!
Pascal Mayalla mkuuu TIRIRIKA sema chochoteDuh...!.
P
Duh...!.Pascal Mayalla mkuuu TIRIRIKA sema chochote
Umetisha mkuuu...kweli wanasiasa siyo wa kuwaamini.KURA SIJI KUPIGA MANA UNACHOCHAGUA NA KINACHOTANGAZWA NI VICEVERSADuh...!.
P