kunguni wa ulaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 4,131
- 6,140
Mbowe corrupted politician of our timesmbatia and lipumba - stupid politicians of our times
Haya tuambie wewe mkewe sasa, ni nini kinaendelea na huyo Mbatia?Wewe unamjua Mbatia lakini?!
Haya tuambie wewe mkewe sasa, ni nini kinaendelea na huyo Mbatia?
Hello Jf
Napenda kuandika kupitia JF kutuma salamu kwa Mbatia na kundi lake kuwa hii endorsement yao ni kiss of death!
Kuna taarifa kwamba Mbatia na Lipumba waliyakubali mapendekezo yote ya JIWE bila masharti wala marekebisho isipokua kwa maalim Seif peke yake.
Napenda nimkumbushe Mbatia kwamba akionacho sasa si matakwa ya akina Mbowe au yeyote mwana mageuzi isipokua ni nguvu ya wakati!
Wakati una nguvu kuliko vifaru vya jeshi na zana zote za vita!! Huu wakati ni muafaka kwa wana mageuzi kuvuna walichopanda na si kukimbia chombo na kujitosa kwa CCM!!
CCM kiuhalisia haipo tena isipokua inaning'inia kwenye kamba nyepesi iitwayo DOLA.
Kukimbilia CCM kwa majira haya ni kama kukimbilia kifo!!
Hii task aliyopewa Mbatia kamwe asifikiri atashinda na NCCR kuibuka tena kamwe asifikiri hivyo.
Hii endorsement kwake is a kiss of death na itampoteza mazima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbatia ameipa CCM kambi ya muda ya karantini kwa watakaotoka Chadema kwenda CCM na yeye kupewa fungu lake kwa usumbufu.
Viwanda vinajengwa kwa kasi ambayo haijawahi tokea. Viko 4000 (about 154 kila mkoa) mpaka sasa. Mpaka October vitakuwa zaidi ya 4,500.Sisi tusiofungamana na upande wowote ngoja tusubili mtanange, lakini kwa CCM hii ambayo imeonyesha uchapakazi uliotukuka hata kama muwe na tume kama ya kenya (IEBC) kushinda ni ngumu kwa wapinzani.
Huyu Pasco siku hizi anakuwaje???!!! Mbona kila kitu niDuh...!.
P
Ndio kusema hutaki kukubali kwamba Zanzibar ni sehemu ya JMT?Au ulikuwa busy na kutoa elimu namna ya kupambana na covid-19.Kabla sijakujibu hayo mengine naomba ukiri na kukubali kwamba Zanzibar is an integral part of Tanzania kama katiba ya Zanzibar inavyosema ibara ya 1
Uchapakazi wa CCM uliotukuka umeonekana mapambio ya kusifu na kuabudu, kutekana na kupoteza a, lockdown kwa Vyama vya upinzani, wakulima wanalipwa malipo duni, no employment, no salary increment, Wananchi wa kawaida kufunguliwa Kesi za uhujumu uchumi, no siasa kwenye vyombo vya usafiri, marufuku ya vyombo vya habari kuibua Ufisadi isipokuwa vitangaze Ufisadi uliobuliwa na JPM tu. Kama uchapakazi wa aina hiiutasaidia CCM kuzoa kura zote! maCCM yana hofu ya nini kuunda tume huru ya Uchaguzi? Kwa nini maCCM na washirika wao Plicccm wanaing'ang'ania TUME yao ya UCHAFUZI?Sisi tusiofungamana na upande wowote ngoja tusubili mtanange, lakini kwa CCM hii ambayo imeonyesha uchapakazi uliotukuka hata kama muwe na tume kama ya kenya (IEBC) kushinda ni ngumu kwa wapinzani.
Wewe sio wa kwanza kusema hamfungamani na upande wowote lakini ni ngumu kuficha hisia ama unafiki wenu kama ambavyo umemalizia kwa kusema "kwa ccm hii ambayo imeonyesha kuchapa kazi" haya maelezo yamekuja sio kwa utashi wako ni nguvu ya Muumba kuonyesha mkono wa Mungu ni mrefu!Sisi tusiofungamana na upande wowote ngoja tusubili mtanange, lakini kwa CCM hii ambayo imeonyesha uchapakazi uliotukuka hata kama muwe na tume kama ya kenya (IEBC) kushinda ni ngumu kwa wapinzani.
Wewe sio wa kwanza kusema hamfungamani na upande wowote lakini ni ngumu kuficha hisia ama unafiki wenu kama ambavyo umemalizia kwa kusema "kwa ccm hii ambayo imeonyesha kuchapa kazi" haya maelezo yamekuja sio kwa utashi wako ni nguvu ya Muumba kuonyesha mkono wa Mungu ni mrefu!
Mtaishia kwenye mikwara na lamli humu jfHello Jf
Napenda kuandika kupitia JF kutuma salamu kwa Mbatia na kundi lake kuwa hii endorsement yao ni kiss of death!
Kuna taarifa kwamba Mbatia na Lipumba waliyakubali mapendekezo yote ya JIWE bila masharti wala marekebisho isipokua kwa maalim Seif peke yake.
Napenda nimkumbushe Mbatia kwamba akionacho sasa si matakwa ya akina Mbowe au yeyote mwana mageuzi isipokua ni nguvu ya wakati!
Wakati una nguvu kuliko vifaru vya jeshi na zana zote za vita!! Huu wakati ni muafaka kwa wana mageuzi kuvuna walichopanda na si kukimbia chombo na kujitosa kwa CCM!!
CCM kiuhalisia haipo tena isipokua inaning'inia kwenye kamba nyepesi iitwayo DOLA.
Kukimbilia CCM kwa majira haya ni kama kukimbilia kifo!!
Hii task aliyopewa Mbatia kamwe asifikiri atashinda na NCCR kuibuka tena kamwe asifikiri hivyo.
Hii endorsement kwake is a kiss of death na itampoteza mazima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtaishia kwenye mikwara na lamli humu jf
anajua
Elimu
anajua
Elimu ipi hapo umetoa zaidi ya mikwara tuu. Mbatia anajua anachokifanya mkuu. Na usijidanganye eti kuna wanamageuzi, katika hao unaowadhania. Mwana mageuzi ni yule aliye serious kuujenga uchumi wetu wengine hao wanaobweka bweka ni mbwembwe tuu wapate mkate wao.