Mbatia's Endorsement ni Busu la kifo!!

Mbatia's Endorsement ni Busu la kifo!!

Hello Jf

Napenda kuandika kupitia JF kutuma salamu kwa Mbatia na kundi lake kuwa hii endorsement yao ni kiss of death!

Kuna taarifa kwamba Mbatia na Lipumba waliyakubali mapendekezo yote ya JIWE bila masharti wala marekebisho isipokua kwa maalim Seif peke yake.

Napenda nimkumbushe Mbatia kwamba akionacho sasa si matakwa ya akina Mbowe au yeyote mwana mageuzi isipokua ni nguvu ya wakati!

Wakati una nguvu kuliko vifaru vya jeshi na zana zote za vita!! Huu wakati ni muafaka kwa wana mageuzi kuvuna walichopanda na si kukimbia chombo na kujitosa kwa CCM!!

CCM kiuhalisia haipo tena isipokua inaning'inia kwenye kamba nyepesi iitwayo DOLA.

Kukimbilia CCM kwa majira haya ni kama kukimbilia kifo!!

Hii task aliyopewa Mbatia kamwe asifikiri atashinda na NCCR kuibuka tena kamwe asifikiri hivyo.

Hii endorsement kwake is a kiss of death na itampoteza mazima.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani CCM imeanzia awamu ya JIWE kuning'inia kamba nyepesi ya DOLA?
2015 iliwatumia Mbowe na Lisu kusimamisha wagombea wawili.
Lakini misukule hadi keo haielewi tu.
 
Sisi tusiofungamana na upande wowote ngoja tusubili mtanange, lakini kwa CCM hii ambayo imeonyesha uchapakazi uliotukuka hata kama muwe na tume kama ya kenya (IEBC) kushinda ni ngumu kwa wapinzani.
Ufanyakazi ulio tukukawakati wenzako anatafuta pa kujificha
 
Kati ya wagombea niliowaona wa maana zamani ni Mbatia katika kujenga lakini kwa awamu hii amekuwa hovyo kupita kiasi
 
James Mbatia ana bei kama walivyo malaya wa Kimboka Bar. Yule uanaume wake ni kuvaa suruwali tu na kuingia vyoo vya kiume!! Ila ni bwabwa
 
Jamaa alikua na nafasi kubwa kukijenga chama chake mwaka huu... ndo hivyo tena akakabidhi nafsi kwa shetani!!
 
Mwanzoni alivyoanza kabla haijafika bei utadhani ana msimamo na ana uchungu na wananchi,kumbe ni mbinu za njaa zake tu

Duh vipi , Ghafla wamekufanya uzeeke , CCM ina wenyewe , MAFIA , Pascal uligeuka ile hadithi ya kihindi GOLO KAINGIA JAMATINI [emoji14] [emoji14] [emoji14]

Hulaumiki sana ni njaa iliyopo nchini , yataka moyo
Hahahah wajumbe wamemperemba
 
Heri angejenga chama chake kuliko kuwa dalali wa kuwanunua wapinzani,hii awamu ikiisha NCCR itakuwa chama cha mfukoni kwanza awamu hii hawapati hata mbunge mmoja
Jamaa alikua na nafasi kubwa kukijenga chama chake mwaka huu... ndo hivyo tena akakabidhi nafsi kwa shetani!!
 
Mwanzoni alivyoanza kabla haijafika bei utadhani ana msimamo na ana uchungu na wananchi,kumbe ni mbinu za njaa zake tu
Na ile slogan yake ya mama Tanzania!!
 
Hello Jf

Napenda kuandika kupitia JF kutuma salamu kwa Mbatia na kundi lake kuwa hii endorsement yao ni kiss of death!

Kuna taarifa kwamba Mbatia na Lipumba waliyakubali mapendekezo yote ya JIWE bila masharti wala marekebisho isipokua kwa maalim Seif peke yake.

Napenda nimkumbushe Mbatia kwamba akionacho sasa si matakwa ya akina Mbowe au yeyote mwana mageuzi isipokua ni nguvu ya wakati!

Wakati una nguvu kuliko vifaru vya jeshi na zana zote za vita!! Huu wakati ni muafaka kwa wana mageuzi kuvuna walichopanda na si kukimbia chombo na kujitosa kwa CCM!!

CCM kiuhalisia haipo tena isipokua inaning'inia kwenye kamba nyepesi iitwayo DOLA.

Kukimbilia CCM kwa majira haya ni kama kukimbilia kifo!!

Hii task aliyopewa Mbatia kamwe asifikiri atashinda na NCCR kuibuka tena kamwe asifikiri hivyo.

Hii endorsement kwake is a kiss of death na itampoteza mazima.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wamebaki kushonesha ma overall kama wajenz
 
Back
Top Bottom