Mbatia's Endorsement ni Busu la kifo!!

Mbatia's Endorsement ni Busu la kifo!!

Hello Jf

Napenda kuandika kupitia JF kutuma salamu kwa Mbatia na kundi lake kuwa hii endorsement yao ni kiss of death!

Kuna taarifa kwamba Mbatia na Lipumba waliyakubali mapendekezo yote ya JIWE bila masharti wala marekebisho isipokua kwa maalim Seif peke yake.

Napenda nimkumbushe Mbatia kwamba akionacho sasa si matakwa ya akina Mbowe au yeyote mwana mageuzi isipokua ni nguvu ya wakati!

Wakati una nguvu kuliko vifaru vya jeshi na zana zote za vita!! Huu wakati ni muafaka kwa wana mageuzi kuvuna walichopanda na si kukimbia chombo na kujitosa kwa CCM!!

CCM kiuhalisia haipo tena isipokua inaning'inia kwenye kamba nyepesi iitwayo DOLA.

Kukimbilia CCM kwa majira haya ni kama kukimbilia kifo!!

Hii task aliyopewa Mbatia kamwe asifikiri atashinda na NCCR kuibuka tena kamwe asifikiri hivyo.

Hii endorsement kwake is a kiss of death na itampoteza mazima.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wenye masikio na ubongo tumesikia na kuelewa Mkuu ila vipofu ngoja waanze kupapasa ili wapate muujiza wa kuona siku moja ikitokea.
 
Sasa kwanini tume ya Jaji warioba ilipendekeza utaratibu tofauti wa kuunda tume ya uchaguzi iliyo huru kama tume iliyopo iko huru.Hivi Rais anapowaambia wakurugenzi atawashangaa wanapomtangaza mgombea wa chama cha upinzani wakati wameteuliwa na yeye na wanalipwa na anawalipa mshahara yeye, hapo kuna tume huru ipi sasa. Hoja zingine bora ukae kimya tu. Wananchi tunataka tume huru itakayomtangaza aliyepata kura nyingi kwa wananchi siyo anatakiwa kutangazwa na mkurugenzi ili kulinda Kibarua chake cha ukurugenzi.
Rais huwa anawaamrisha wakurugenzi watangaze mgombea wa CCM kisa amewateua? Hao mawakala wa vyama vya upinzani huwa wanakuwa wapi? Maana lazima washiriki zoezi zima kuanzia mwanzo mpaka mwisho,na katika kujumlisha kura jimboni wagombea ubunge wanakuwepo na form zote zinaletwa .Tatizo ni hofu ya mtu kwamba akiteuliwa lazima apindishe mambo ili kumridhisha mkuu. Rasimu ya tume ya warioba ilitaka mabadiliko mengi tu katika katiba ya 1977 na hii sio sababu kwamba tume ya sasa hivi sio huru. Pia kama kuna wizi wa kura mgombea anatakiwa asisaini form ya kukubali matokeo. Ndio maana uhuru upo hata sasa hivi.
 
Hii ndio shida hivi ilikuwaje Hillary Clinton alikuwa na wabunge/senator wachache ila bado akamzidi kura trump??

Zanzibar ina majimbo 50 ila wapiga kura wake wote hawazidi kura za Dar pekee sasa utasema CUF ni chama kikubwa kuliko chadema kisa kina wabunge 25 wenye kura chini ya laki 2 kwa ujumla wao ambazo ni jumla ya kura za mdee na sugu??
Kwa hiyo unataka kusema Trump hakushinda? Na hakushinda ilkuwaje kuwaje awe Us president?
 
Hello Jf

Napenda kuandika kupitia JF kutuma salamu kwa Mbatia na kundi lake kuwa hii endorsement yao ni kiss of death!

Kuna taarifa kwamba Mbatia na Lipumba waliyakubali mapendekezo yote ya JIWE bila masharti wala marekebisho isipokua kwa maalim Seif peke yake.

Napenda nimkumbushe Mbatia kwamba akionacho sasa si matakwa ya akina Mbowe au yeyote mwana mageuzi isipokua ni nguvu ya wakati!

Wakati una nguvu kuliko vifaru vya jeshi na zana zote za vita!! Huu wakati ni muafaka kwa wana mageuzi kuvuna walichopanda na si kukimbia chombo na kujitosa kwa CCM!!

CCM kiuhalisia haipo tena isipokua inaning'inia kwenye kamba nyepesi iitwayo DOLA.

Kukimbilia CCM kwa majira haya ni kama kukimbilia kifo!!

Hii task aliyopewa Mbatia kamwe asifikiri atashinda na NCCR kuibuka tena kamwe asifikiri hivyo.

Hii endorsement kwake is a kiss of death na itampoteza mazima.

Sent using Jamii Forums mobile app
Msimuchukulie serious mwanaume ambaye anatinda nyusi. Siyo kila aliyevaa suruali ni mwanaume.
 
Life is a business, let him do it. Hapa duniani kila mtu anatafuta masilahi, kama Mbatia ameona mfumo wake wa sasa utamnufaisha mwache aendelee, katika bishara kuna faida na hasara, na mitazamo pia tumetofautiana, Mimi ninaamini Mbatia anajua anachokifanya.
Wanachadema kuimba wimbo wa lawama hakusaidii kuiimarisha CHADEMA.
 
Ok fine mna tume kama ya kenya Iebc na jamaa anakubalika kama JPM nini kitakusaidia kwenye kura za urais? Jana kunywa kahawa tu chato ni kama amepata kura 30% za urais. Point yangu ni kwamba good derivery of results ndio zinakupa ushindi. Na siasa ni sayansi.
kumbe kunywa kahawa ni maendeleo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo unataka kusema Trump hakushinda? Na hakushinda ilkuwaje kuwaje awe Us president?
Wewe umesema kivipi mtu ashinde kura za Urais ilihali ana wabunge wachache ndio najenga hoja kuwa Hata Hillary alimzidi Trump kura za Urais ingawa trump alikua na back wabunge na masenator wengi zaidi.

Nachosema ni hiki Dar kuna majimbo 9 pekee ila yanatoa zaidi ya kura million 3 ila Zanzibar ina majimbo 50 haifikishi hata kura laki 6 za Urais ikimaanisha unaweza shinda urais bila kuwa na wabunge wengi maana majimbo ya uchaguzi huwa hayaconsider wingi wa kura pekee bali pia geographia n.k.

Hata Lowassa alishinda kura za Urais Zanzibar ingawa wabunge wengi zanzibar wametokea CCM!!

Hii hoja haina mashiko tena
 
Mh... Let me be quite.
 
Watanzania lazima tukubali tumefanya makosa kuwaamini na kuwatanguliza mbele ya mapambano baadhi ya viongozi wa upinzani. Hususani hawa NCCR na CUF,these guys are stupid ni dhahiri wako kwa malengo fulani ya kuturudisha nyuma.

Hata vyama smart kama CHADEMA na ACT wasiwe wanafanya makosa ya kuwaamini hawa watu na kuweka alliance naò.

Watu wazima na akili zao walioaminiwa wanawezaje kutongozeka kirahisi namna hiyo. Suala la kama la maridhiano ya CCM na upinzani ni suala nyeti lenye matokeo chanya,leo mtu anakubali kufanya kikao individual na rais
 
Rais huwa anawaamrisha wakurugenzi watangaze mgombea wa CCM kisa amewateua? Hao mawakala wa vyama vya upinzani huwa wanakuwa wapi? Maana lazima washiriki zoezi zima kuanzia mwanzo mpaka mwisho,na katika kujumlisha kura jimboni wagombea ubunge wanakuwepo na form zote zinaletwa .Tatizo ni hofu ya mtu kwamba akiteuliwa lazima apindishe mambo ili kumridhisha mkuu. Rasimu ya tume ya warioba ilitaka mabadiliko mengi tu katika katiba ya 1977 na hii sio sababu kwamba tume ya sasa hivi sio huru. Pia kama kuna wizi wa kura mgombea anatakiwa asisaini form ya kukubali matokeo. Ndio maana uhuru upo hata sasa hivi.
Daah, we jamaa huenda ni mtoto kweli! Au pengine hujui lolote lile, una vihoja vyepesi sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Hillary alimzidi Trump kula za urais" Mh... "Ili hali trump ana masenator wengi"
Mkuu Popularity vote Hillary clinton alimzidi Trump ingawa urais wa marekani hauamuliwi na wapiga kura wa chini ndio maana Trump alishinda.
Sasa unachopaswa ufahamu mpaka uchaguzi unafanyika wawakilishi wa congress na senate wengi zaidi walikuwa Republican!!

Sasa tukienda na hoja yako nieleze ilikuaje wananchi wapige kura nyingi kwa wawakilishi wa republican afu kura za urais wakaja mpigia clinton??

Nisaidie hapa
 
Daah, we jamaa huenda ni mtoto kweli! Au pengine hujui lolote lile, una vihoja vyepesi sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
We jibu maswali niliyouliza,huwa kuna mawakala wa kila chama kinachoweka mgombea.Mawakala huwa ni kuanzia ngazi ya vituo vyote vya uchaguzi,kwa mkurugenzi ambae ni msimamizi hadi ngazi ya Taifa. Pale kwa mkurugenzi kabla matokeo kutangazwa wagombea wote huwa wanakuwepo na form za matokeo huwa zinaletwa. Sasa kama kuna hujuma hao wa upinzani kwa nini huwa wanasaini ili mkurugenzi atangaze? Hao mawakala kwa nini wanasaini hayo matokeo kuanzia chini mpaka ngazi za juu.
 
Mkuu Popularity vote Hillary clinton alimzidi Trump ingawa urais wa marekani hauamuliwi na wapiga kura wa chini ndio maana Trump alishinda.
Sasa unachopaswa ufahamu mpaka uchaguzi unafanyika wawakilishi wa congress na senate wengi zaidi walikuwa Republican!!

Sasa tukienda na hoja yako nieleze ilikuaje wananchi wapige kura nyingi kwa wawakilishi wa republican afu kura za urais wakaja mpigia clinton??

Nisaidie hapa
Nafikiri jibu unalo,electoral vote ndiyo inayompa urais mgombea hata Us ndio maana Republican wana masanetor wengi kuliko Congress. Na mantiki hiyo ukiwa na wawakilishi wengi ni obvious hata kula za urais zitakuwa nyingi.
 
Back
Top Bottom