zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,399
- 40,295
Naona hata hauelewi hoja yangu, nachosema ni hiki wawakilishi wengi alikua nao Trump ila bado kura za Urais (Popularity vote) alishinda Hillary clinton.Nafikiri jibu unalo,electoral vote ndiyo inayompa urais mgombea hata Us ndio maana Republican wana masanetor wengi kuliko Congress. Na mantiki hiyo ukiwa na wawakilishi wengi ni obvious hata kula za urais zitakuwa nyingi.
Yaani Trump alikua na wabunge na maseneta wengi kuliko Hillary ila bado alimzidi Kura Trump sasa nisaidie kivipi upate wawakilishi wengi ila kura za urais zisitoshe.
NB: Usiongelee electoral college maana wawakilishi wanachagua Rais kitu ambacho Tanzania hakipo ikimaanisha. Hivyo stick kwa Kura za Trump na Hillary ili iwe sawa na context ya Tanzania.
Pia unisaidie ilikuwaje Lowassa akapata Zaidi ya 60% kura za Zanzibar ilihali wabunge wa CCM kutoka zanzibar ni 60% yaani kivp ashinde urais ilihali kazidiwa wawakilishi?