Mbatia na unabii wako wa kishetani umegonga mwamba

Sawa Bwana,sijui mwenzetu unaishi nchi gani usiyekuwa na taarifa ya hali ilivyo Tanzania
 
Acha ujinga.. Ulitaka TUFE WOTE ndo uamini kuwa kuna korona?
 
Itoshe tu kukwambia nakuhurumia sana
 
Huyu Mbatia muache tu na umsamehe bure na Mungu atakukipa maana akiwa hajameza dawa zake huwa anajisahau hata jinsia yake.
 
Kwahiyo wewe huko uishiko hamna hivi vifo?
 
Huko mitaani unaishi peke yako? Na sisi tunaishi mtaani huko huko!! Maisha ni ya kawaida na vifo ni kama ilivyo tangu zama na zama!! Hakuna cha ziada!!
Hilo unajua wewe unakoishi,mimi nazungumzia mtaani kwetu
 
Wewe utakuwa mwendawazimu. Tangu corona iingie, kuna wakati wowote iliwahi kutokeavifo vya korona zaidi ya 500 kwa wiki, yaani vifo 73 kwa siku. Ilishawahi kutokea Tanzania kuongoza kwa vifo katika bara zima la Afrika.

Hivi unajua kuwa kwa sasa, Tanzania ni ya 3 kwa vifo vya corona Duniani?
 
Vifo vipo vingi sana vya Corona,na hapa sizungumzii hivi vinavyotangazwa kwenye tv wala mitandao,ni huku mtaani tunakoishi

Mtaa gani mkuu? Mimi sijawahi kuona mgonjwa wa corona wala kusikia kifo zaidi tu nasoma mitandaoni kama hivi, tunavyojazana kwenye mabasi vile halafu uniambie kuna COVID bongo?
 
Mtaa gani mkuu? Mimi sijawahi kuona mgonjwa wa corona wala kusikia kifo zaidi tu nasoma mitandaoni kama hivi, tunavyojazana kwenye mabasi vile halafu uniambie kuna COVID bongo?
Hivyo hivyo vifo vya maradhi mengine unavyovisikia ndio hivyo hivyo vinahesabika ni vya corona au tuseme vimesababishwa na corona ndio husikii vifo vya corona, kuhusu kujazana kwenye mabasi ni kwamba bongo maambukizi ya corona husababisha vifo tu kwa sana ila haifanyi hospitali kuelemewa wagonjwa.
 

Umeandika kuonyesha upumbavu wako
 
Huyu nae so afungue kanisa ,tumuita mtume na na nabiii mbatia!,naona Sasa ameamua achunge kondoo !
 
Wewe! Eti unasema watanzania tupo salama salimini! Unaishi Burundi au wapi? Watu wanakufa sana kwa corona umetembelea mahospitali?
 
Fara kabisa. Unaleta siasa kwenye maisha ya watu. Covid imeua zaidi ya milioni 4 duniani mpaka sasa.
Ukimwi umeaua watu wangapi, Cancer imeua watu wangapi, Kifua kikuu kimeua watu wangapi? Ajali zimeua watu wangapi? Hujiulizi kwanini Corona?
 
Weka data acha kubwabwaja jama kibajaji wa Metra!
 
Nchi hii iko na wazandiki wengi mno. Mbatia mmoja wao.
 
We ndo mwendawazimu..Hana nchi nenda nchi nyingine huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…