Sawa Bwana,sijui mwenzetu unaishi nchi gani usiyekuwa na taarifa ya hali ilivyo TanzaniaKatikati ya mwezi uliopita Mbatia alijitokeza kwenye vyombo vya habari (mwanahalisi tv online) akasema baada ya wiki mbili kutakuwa na vifo vingi sana vya corona nchini kwetu katika namna ambayo haijawahi kutokea na hospitali zitazidiwa sana! Ni janga kubwa!! Wee mbatia wewe!! yaani unaamua kuwa dalali wa mabeberu ili wapige pesa ya chanjo kichaa isiyoweza kumkinga mchanjwaji na maambukizi mapya!! Hata kama una njaa ndo unaamua kuja na mkwara wa kutaka kutuingizia hofu!! Nilikupinga na kama una ubavu nenda tana mwanahalisi tv online ukarudie maneno yale yale!! Acha wiki mbili, karibuni mwezi mzima unapita watanzania tupo salama salimini!! Vifo vilivyopo ni vya kawaida na hakuna maiti zilizozagaa wala hakuna taharuku yoyote na hakuna hospitali iliyozidiwa!! Wagonjwa wa corona mnaendelea kuwatafuta kwa tochi!!
Tuambie Mbatia umefaidika nini kuwa na nabii wa Ibilisi kuhusu corona?? Manabii wa mauti kuhusu Tanzania waliokutangulia waligonga mwamba, na wewe umegonga mwamba na wajao watagonga mwamba!! Kwa taarifa yako maombi ya watanzania wacha Mungu ya mwaka 2020 hayaja-expire!! Na tunazidi kumwomba Mungu!! Timu ibilisi mtasubiri sana!!! Hakuna namna ya kutuingizia hofu!!! Waambieni wanaowatuma kuwa Mungu wa Tanzania yuko macho!!