MBATIA kufukuzwa Ubunge?

MBATIA kufukuzwa Ubunge?

Mbona kawambwa alipotakiwa na mbatia ampe alishindwa?Magamba mnayo kazi.
tumia akili. mtaala ni maandishi siyo vitu halisi. instructional materials (learning / teaching aids) hutajwa kwenye mitaala. tofautisha mambo mawili. acha hoja za kitoto. mitaala ipo. kupungua au kukosekana kwa vifaa vya kufundishia mashuleni hilo ni suala lingine. tumia ubongo acha uvivu dogo.
 
kaka mbona unakuwa mkali, taratibu. utaandaje mitaala bila kujua ni namna gani itakuwa delivered kwa wanafunzi wako kwa kila level ili wafikie lengo lililokusudiwa? kama ni maandishi tu basi hapo ndipo kwenye tatizo. nafikiri hata Mbatia wote hamkumwelewa aliposema hatuna mitaala.
 
Sasa kama ulikuwepo kabatini ni swa na kutokuwa nao au kuna faida gani ya kuutoa sasa?? kutuonyesha Watanzania then .............. baada ya kuthibitishwa utaburishwa tena kabatini!! Mbatia yuko right kama ulikuwa hautumiki then ni sawa ni kutokuwepo!!
 
MBATIA aliapa bungeni kwamba Waziri wa Elimu atakapowakilishwa mtaala wa elimu atajiuzulu ubunge kwani haupo tangu tupate uhuru.

Mtaala wa elimu umewakilishwa na kuundiwa Tume ya wabunge 6 itakayodhibitisha mtaala huo chini ya mama Magreth Sitta.

Tugemee nini kama itathibitishwa kwamba mtaala huo upo???

My Take:

Nilimsikia MBATIA kwa kinywa chake akitoa ahidi na kuapa kupitia TBC live kutoka bungeni kwamba ataachia ngazi.

Mdomo nyumba ya maneno. Huwezi kuisukuma gari ukiwa ndani ya gari.

Mbatia hilo unalo timiza ahadi yako endapo itathibitishwa kwamba ulilidanganya bunge na Watanzania. Kama atagoma kujiuzulu basi bunge litumie busara kumfukuza ubunge ili ahadi yake itimie.

Mpinzani wa kweli hawezi kukubali kirahisi rahisi uongozi katika serikali anayoipinga. Kwa hiyo mtu wa namna hiyo hawezi kusimama kwenye maneno yake kamwe.
 
sramble umejiambulisha kwenye thread moja wapo kwamba ni mwalimu na uko na M.A nijitambulishe kwako na mbele ya wana jf mi ni curriculum specilist,nakuomba usome makala ya mkumbo kwenye gazeti la raia mwema la leo uone jinsi unavyopotosha watu kuhusu hili suala la mitaala. Nilieleza pia kwenye thread yako ya jmosi iliyopita kuhusu suala hili la mitaala, naomba uwe professional zaidi ukiwa unasoma makala ya mkumbo kwani huo ndo ukweli kuhusu sakata hili la mitaala
Nategemea nikasome hilo gazeti sasa hivi. Napenda kukutahadharisha kwamba sio kila kinachoandikwa gazetini au hata vitabuni ni sahihi. Waandishi wengine wamejaaliwa convincing power, hata baadhi ya wanasiasa pia.
 
MAMA POROJO kama ulimsoma vizuri mbatia alisema alikwenda hadi wizarani akaomba mitaala akaambiwa hakuna!
Kinachotokea sasa ni dhahiri serikali amefanya magumashi ili kumkomoa tuu; si oni sababu ya mbatia kujiuzulu na hakuna wa kumfukuza labda aamue mwenyewe!

Wamechukua takribani wiki nzima kumjibu, umeshindwa kujiuliza ujasiri wa mbatia ulitoka wapi?
Hapa kuna mchezo unachezwa na ukweli utajulikana!

MBATIA aliapa bungeni kwamba Waziri wa Elimu atakapowakilishwa mtaala wa elimu atajiuzulu ubunge kwani haupo tangu tupate uhuru.

Mtaala wa elimu umewakilishwa na kuundiwa Tume ya wabunge 6 itakayodhibitisha mtaala huo chini ya mama Magreth Sitta.

Tugemee nini kama itathibitishwa kwamba mtaala huo upo???

My Take:

Nilimsikia MBATIA kwa kinywa chake akitoa ahidi na kuapa kupitia TBC live kutoka bungeni kwamba ataachia ngazi.

Mdomo nyumba ya maneno. Huwezi kuisukuma gari ukiwa ndani ya gari.

Mbatia hilo unalo timiza ahadi yako endapo itathibitishwa kwamba ulilidanganya bunge na Watanzania. Kama atagoma kujiuzulu basi bunge litumie busara kumfukuza ubunge ili ahadi yake itimie.
 
Last edited by a moderator:
ndugu yangu inaelekea hujui maana ya mtaala (neno sahihi mtalaa japo wengi wanaandika mtaala). nikupe mfano mmoja. muhtasari ama syllabus inatokana na mtalaa. katika shule ya msingi kuna syllabus ya kiswahili, kiingereza, hisabati, sayansi, historia, jiografia, uraia, stadi za kazi, tehama. hayo ni masomo 9. ukifanya mahesabu darasa la kwanza hadi la 7, zinahitajika syllabus 63. japo kiswahili la 1 hadi la saba huwa katika kitabu kimoja na masomo mengine ni hivyohivyo.

elimu ya chekchea nayo ina mihutasari yake. elimu ya sekondari nayo ina ya kwake. mihutasari yote inatokana na mitalaa. mitalaa ni mipana zaidi kuliko mihutasari. ndugu yangu hiyo ni kazi ya zaidi ya mwaka mzima. acha utoto kwa kusema fastafasta. mitalaa ilikuepo ila hapakua na vitabu vyake. ilikua kwenye ma files wizarani na taasisi. kinacho hitajika mashuleni ni syllabus siyo curriculum.

mbatia aligusa sehemu ambapo panahitaji utafiti wa kitaalamu siyo kisiasa. alifanya utafiti uliyohodhiwa na siasa siyo taaluma. asijiuzulu bali aombe radhi.

hata hivy, bado tuna kazi kubwa ya kuboresha elimu yetu hapa nchini huanzia sera ya elimu, mitalaa, mihutasari na vitendea kazi. nampongeza mbatia kwa hoja yake binafsi ila namsihi asifuate ushauri wa lissu. lissu atammaliza kisiasa.

ndugu, usikurupuke kuongea na kufanya conclusion ya jambo usilolijua! 100% Mbatia hakukurupuka... yuko sahihi. Serikali haina MTAALA RASMI ila ina MTAALA USIO RASMI. sasa mtaala usio rasmi sio mtaala maana hautambuliki kisheria! ndio maana Serikali imeshindwa kuwasilisha mtaala Bungeni! jiulize kwa nini Serikali ishindwe kufanya jambo dogo kama hilo la kuwasilisha mtaala Bungenikama kweli mtaala huo upo! Take this...MTAALA WA ELIMU HAUPO...I repeat again..HAUPOO! Kuna professor mmoja mashuhuri alifanya utafiti na kubaini haupo na ndipo akampasia mhe. Mbatia. kwa hiyo suala la Mbatia kujiuzuru HALIPO na SAHAU!
 
Mbona kawambwa alipotakiwa na mbatia ampe alishindwa?Magamba mnayo kazi.

mim nazungumzia suala hili kwa kuwa ni sehemu ya taaluma yangu. siangalii chama katika hili. kama kwako mtu akisema mwakyembe anafanya kazi vizuri basi atakua mwanaccm, elewa kuwa uko dunia ya giza. mwakyembe aangaliwe kama mtanzania mzalendo. ukikataa mema anayoyafanya mwakyembe kwa sababu ww siyo mwana ccm, hapo utakua umeharibu. siasa isitupeleke huko. hoja yangu ni kwamba mitaala ipo kwa sababu nimewahi kuiona. pili vile tuna mihutasari, muhtasari hauwezi patikana bila mtaala kwa sababu muhtasari unatokana na mtaala. hiyo ndiyo hoja yangu. hapo siangalii ubora wa elimu au abovu wake hapa nchini. mataala ipo haipo? hilo ndiyo swali lililopo ukumbini.

acha ushabiki wa siasa za majitaka!
 
Someni makala ya dr. Mkumbo gazeti la raia mwema la leo muone tanzania ilivyo na viongozi uchwara. Waziri kawambwa ni kilaza,wabunge pia ni vilaza tu. Suala hili kwetu sisi wataalam ni dogo sana lakini limekuzwa na ukilaza na uvivu wa kufikiri wa wabunge na wafanya kazi wa wizara ya elimu. NASISITIZA KWAMBA TANZANIA HAKUNA DOCUMENTS ZINAZOITWA MITAALA. Kama kuna kitu kilichoandikwa juu yake mtaala either wa shule ya msingi au secondary kilichopelekwa bungeni,ninasikitika kuona kwamba wataalam wa mitaala wanalipotosha taifa. mbatia alipaswa kupewa elimu kuhusu maana ya mitaala

we pia kilaza
 
"BAADHI ya walimu wa shule za msingi wilaya za Korogwe na Moshi wamelalamikia mabadiliko ya mara kwa mara ya mitaala kwa shule za msingi pamoja na idadi kubwa ya masomo kwa wanafunzi wa madarasa ya chini, kuwa yamekuwa yakiwachanganya wanafunzi.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti hivi karibuni walisema mabadiliko ya mara kwa mara kwa mitaala yanayofanywa na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi bila maandalizi yamekuwa chanzo cha vikwazo cha kufanya vizuri kwa sekta hiyo."

Uliripoti mtandao wa http://www.thehabari.com/?p=21453 NA HAKIELIMU Agust 2012.

Sasa ikiwa mtaala haupo,Ina maana hawa waalimu na wanafunzi walikuwa wakichanganywa na kitu ambacho hakipo huku serikali nayo ikiwa inalaumiwa kubadilishabadilisha kitu ambacho hakipo? yaani mambo mengine mimi yananipa raha kweli!

Walikuwa wanachanganywa na mitaala isiyo rasmi. Mara michezo ondoa, kisha michezo rudisha. Mara somo moja la sayansi, mara yarudi kama ilivyokuwa. mara kitumike kitabu hiki leo, kesho kinachotumika ni kingine.
 
Ni lazima aitende kauli yake....................hata hivyo, hakuna hasara kwa sababu hata ubunge wake amepata kwa hisani..........hakuna mtu anayemshinikiza bali ni yeye mwenyewe alijishinikiza kufanya hivyo pindi ukweli ukianikwa.............kuruhusu kuendelea kama mbunge ni kuendelea kukumbatia uongo wa wanasiasa kitu ambacho ni hatari katika ustawi wa taifa..................kujiudhuru kwake litakuwa ni fundisho kwa wanasiasa wengine kuwa waangalifu na kauli zao kabla ya kufanya tafiti mbadala. LAZIMA AJIUZURU.
 
mkumbo namfahamu ni mhadhiri na mkuu wa kitivo cha elimu pale duce chang'ombe. ni msomi na namheshimu. makala yake nimeisome katika raia mwema la wiki hii ukurasa wa 8 na 9. mbona ninayo yasema ndiyo aliyoyaandika. sijatofautiana nae hata kidogo. kasema nchi yetu ina mitalaa na kasema mihutasari hutokana na mitalaa. huwezi kuwa na muhtasari bila ya kuwa na mtalaa. hebu isome kisha unieleze wapi nimetofautiana nae. wewe kama curriculum specialist (jpo katika ngazi za elimu sijawahi sikia cheo hiki kitaaluma!) nieleze wapi nimepotosha watu kuhusu mambo ya mitalaa au mitaala!

kwanza nakupongeza kwa kufuatilia hiyo makala niliyokuwa nimeomba ucheki ili nikuonyeshe umepotosha namnukuu mkumbo '' kimsingi si rahisi kuwa na nyaraka moja na ukaiita mtaala kwa sababu mtaala ni mkusanyiko wa nyaraka nyingi'' naendelea kunukuu ''kimsingi kama waziri kawambwa angeamua kuleta nakala za mitaala ya elimu tanzania huko bungeni ukumbi wa bunge usingetosha!'' wewe unawapotosha watu kwamba kuna nyaraka zinayoitwa mitaala zipo wizarani zimetoka wapi? Tatizo la mbatia lilikuwa dogo sana kama angeelimishwa na wataalam wa mitaala. Waziri aliingizwa kingi naye akakurupuka kusema kuwa anajiandaa kuleta kitu ambacho hakipo. Nasikia jana amelepeleka hizo nyaraka zinazoitwa mtaala,nitaenda wizarani nikajionee hayo maajabu
 
scramble naona hapa una scramble kutetea kisicho weza kutetewa! Najua fika wewe ni mwalimu lakini umeshindwa kujiuliza maswali kadhaa kwenye hoja ya mabatia!

Hebu twambie kama mitaala imekuwa siri kiasi kwamba wengine wasiione?

Hivi unajua mbatia alisema amekwenda wizara kuulizia mtaala huo unaosema hupo na akaambiwa hukana?

ndugu yangu inaelekea hujui maana ya mtaala (neno sahihi mtalaa japo wengi wanaandika mtaala). nikupe mfano mmoja. muhtasari ama syllabus inatokana na mtalaa. katika shule ya msingi kuna syllabus ya kiswahili, kiingereza, hisabati, sayansi, historia, jiografia, uraia, stadi za kazi, tehama. hayo ni masomo 9. ukifanya mahesabu darasa la kwanza hadi la 7, zinahitajika syllabus 63. japo kiswahili la 1 hadi la saba huwa katika kitabu kimoja na masomo mengine ni hivyohivyo.

elimu ya chekchea nayo ina mihutasari yake. elimu ya sekondari nayo ina ya kwake. mihutasari yote inatokana na mitalaa. mitalaa ni mipana zaidi kuliko mihutasari. ndugu yangu hiyo ni kazi ya zaidi ya mwaka mzima. acha utoto kwa kusema fastafasta. mitalaa ilikuepo ila hapakua na vitabu vyake. ilikua kwenye ma files wizarani na taasisi. kinacho hitajika mashuleni ni syllabus siyo curriculum.

mbatia aligusa sehemu ambapo panahitaji utafiti wa kitaalamu siyo kisiasa. alifanya utafiti uliyohodhiwa na siasa siyo taaluma. asijiuzulu bali aombe radhi.

hata hivy, bado tuna kazi kubwa ya kuboresha elimu yetu hapa nchini huanzia sera ya elimu, mitalaa, mihutasari na vitendea kazi. nampongeza mbatia kwa hoja yake binafsi ila namsihi asifuate ushauri wa lissu. lissu atammaliza kisiasa.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu,
Tunachobishania watanzania ni hiki: Mtaala UPO au HAKUNA.
Wanaosema UPO, wanarejea mtaala usio rasmi
Wanaosema HAKUNA, wanataka ulio rasmi

Wanaosema UPO wanaona kwamba mtaala sio lazima uandikwe
Wanaosema HAKUNA wanaona kwamba mtaala sharti uandikwe

Lakini je, Tanzania yetu na hali ya Elimu tuliyonayo, tuwe na mtaala ambao haujaandikwa au tuwe na ulioandikwa?
Haya changueni

unajua usemalo mkuu,kama unauwezo wandikie wizara ya elimu pengine wataamka.ni aibu kwetu sote.tunaonekana vilaza wote
Someni makala ya dr. Mkumbo gazeti la raia mwema la leo muone tanzania ilivyo na viongozi uchwara. Waziri kawambwa ni kilaza,wabunge pia ni vilaza tu. Suala hili kwetu sisi wataalam ni dogo sana lakini limekuzwa na ukilaza na uvivu wa kufikiri wa wabunge na wafanya kazi wa wizara ya elimu. NASISITIZA KWAMBA TANZANIA HAKUNA DOCUMENTS ZINAZOITWA MITAALA. Kama kuna kitu kilichoandikwa juu yake mtaala either wa shule ya msingi au secondary kilichopelekwa bungeni,ninasikitika kuona kwamba wataalam wa mitaala wanalipotosha taifa. mbatia alipaswa kupewa elimu kuhusu maana ya mitaala
 
ndugu, usikurupuke kuongea na kufanya conclusion ya jambo usilolijua! 100% Mbatia hakukurupuka... yuko sahihi. Serikali haina MTAALA RASMI ila ina MTAALA USIO RASMI. sasa mtaala usio rasmi sio mtaala maana hautambuliki kisheria! ndio maana Serikali imeshindwa kuwasilisha mtaala Bungeni! jiulize kwa nini Serikali ishindwe kufanya jambo dogo kama hilo la kuwasilisha mtaala Bungenikama kweli mtaala huo upo! Take this...MTAALA WA ELIMU HAUPO...I repeat again..HAUPOO! Kuna professor mmoja mashuhuri alifanya utafiti na kubaini haupo na ndio akampasia mhe. Mbatia. kwa hiyo suala la Mbatia kujiuzuru HALIPO!

inaelekea huelewi siasa ya vyama vingi. palikua na mvutano. ccm walitaka kumtega mbatia kwa kumtoa kwenye mstari. kawambwa alikua ameshikilia vitabu viwili vya mtaala. naibu spika alimuomba mbatia kuwa ahitimishe hoja yake kisha atapewa mtaala lkn mbatia aligoma kufanya hivyo. siasa ni mchezo mchafu. hiyo rasmi na isiyo rasmi sijui unamaanisha nini? kitu kimeandaliwa na wataalamu. wakasaini na kuwasilisha wizarani. kikahifadhiwa wizarani na pale taasisi ya elimu bado unasema siyo rasmi! au hadi aiguse mbatia ndiyo iwe rasmi?

nilifurahishwa na hoja ya mbatia. kilichomponza ni uhuni wa lissu wa kutaka wenzake wote waige ubishi wake. mbatia asijiuzulu bali awaombe watanzania radhi kwa kuwadanganya kuwa serikali haina mitaala. wattalamu wametumia mitaala hiyo kuandaa syllabus zinazo tumiwa na waalimu kote nchini kisha unasema hiyo mitaala siyo rasmi! ajabu!
 
mim nazungumzia suala hili kwa kuwa ni sehemu ya taaluma yangu. siangalii chama katika hili. kama kwako mtu akisema mwakyembe anafanya kazi vizuri basi atakua mwanaccm, elewa kuwa uko dunia ya giza. mwakyembe aangaliwe kama mtanzania mzalendo. ukikataa mema anayoyafanya mwakyembe kwa sababu ww siyo mwana ccm, hapo utakua umeharibu. siasa isitupeleke huko. hoja yangu ni kwamba mitaala ipo kwa sababu nimewahi kuiona. pili vile tuna mihutasari, muhtasari hauwezi patikana bila mtaala kwa sababu muhtasari unatokana na mtaala. hiyo ndiyo hoja yangu. hapo siangalii ubora wa elimu au abovu wake hapa nchini. mataala ipo haipo? hilo ndiyo swali lililopo ukumbini.

acha ushabiki wa siasa za majitaka!
wewe ni mwanasiasa si mtaalam,mtaalam gani? Haujui kuwa hatuna mtaala ila tuna mitaala tena ya wanasiasa
 
inaelekea huelewi siasa ya vyama vingi. palikua na mvutano. ccm walitaka kumtega mbatia kwa kumtoa kwenye mstari. kawambwa alikua ameshikilia vitabu viwili vya mtaala. naibu spika alimuomba mbatia kuwa ahitimishe hoja yake kisha atapewa mtaala lkn mbatia aligoma kufanya hivyo. siasa ni mchezo mchafu. hiyo rasmi na isiyo rasmi sijui unamaanisha nini? kitu kimeandaliwa na wataalamu. wakasaini na kuwasilisha wizarani. kikahifadhiwa wizarani na pale taasisi ya elimu bado unasema siyo rasmi! au hadi aiguse mbatia ndiyo iwe rasmi?

nilifurahishwa na hoja ya mbatia. kilichomponza ni uhuni wa lissu wa kutaka wenzake wote waige ubishi wake. mbatia asijiuzulu bali awaombe watanzania radhi kwa kuwadanganya kuwa serikali haina mitaala. wattalamu wametumia mitaala hiyo kuandaa syllabus zinazo tumiwa na waalimu kote nchini kisha unasema hiyo mitaala siyo rasmi! ajabu!

najua tutabishana mpaka kesho. jambo la maana subiri uone who is right and who is wrong! najua ninachoongea 100%. . from the inside job!
 
Back
Top Bottom