Pole sana mdogo wangu Mbatia, Ubunge ulioahidiwa utakutesa sana

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Najua kila jambo lako. Nimekutangulia kila ulipopita. Kuanzia shule, JKT, Chuo Kikuu na hata kule kwenye Kitengo. Nakufahamu hadi kuishiwa hamu. Nakujua nje na ndani kuliko maboga niliyoyaotesha uani. Ndugu Mbatia umepotea.

Ukawasiliana na wakuu wa chama na Serikali. 'Ukaombwa' upewe 'kazi maalum' ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu wamwaka huu. Ukaambiwa kuwa mwaka huu ni zamu yako tukibeba chama chetu, na chama chetu kitagharimia kila jambo. Kwamba utawazeshwa ili uweze.

Ukaitwa Ikulu. Ukathibitisha kukubali na kusisitiziwa ahadi ya Ubunge uliyopewa tangu mwanzo kwa jimbo utakalolitaka. Na ukaahidiwa kuwa Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni. Ukaahidiwa na mambo lukuki matamumatamu. Tayari umeshaanza kazi. Kazi yako inaendelea vyema kabisa.

Ndugu Mbatia, ahadi ya Ubunge itakutesa sana. Itakutesa hadi ukumbuke siku ile ulipojiunga kule na kuambiwa yale. Utakumbuka jinsi ulivyoaminika kisiasa kuwa wewe ni mpinzani na hata kupata nafasi huko. Utakumbuka na kujuta kwa kujianika kirahisi.

Time will tell!

Tujihadhari na ugonjwa wa Corona!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha, Tanzania)
 
Kwa sasa ni Mzee Mbatia anaungana na Mzee Lipumba kuibeba CCM, kazi ya kwanza ni kupinga waziwazi vuguvugu la wapinzani la kuungana kabla ya uchaguzi mkuu na jambo la pili ni kupinga kwa nguvu zote juhudi za wapinzani kupigania Tume huru.
 
Najua kila jambo lako. Nimekutangulia kila ulipopita. Kuanzia shule, JKT, Chuo Kikuu na hata kule kwenye Kitengo. Nakufahamu hadi kuishiwa hamu. Nakujua nje na ndani kuliko maboga niliyoyaotesha uani. Ndugu Mbatia umepotea.

Ukawasiliana na wakuu wa chama na Serikali. 'Ukaombwa' upewe 'kazi maalum' ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu wamwaka huu. Ukaambiwa kuwa mwaka huu ni zamu yako tukibeba chama chetu, na chama chetu kitagharimia kila jambo. Kwamba utawazeshwa ili uweze.

Ukaitwa Ikulu. Ukathibitisha kukubali na kusisitiziwa ahadi ya Ubunge uliyopewa tangu mwanzo kwa jimbo utakalolitaka. Na ukaahidiwa kuwa Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni. Ukaahidiwa na mambo lukuki matamumatamu. Tayari umeshaanza kazi. Kazi yako inaendelea vyema kabisa.

Ndugu Mbatia, ahadi ya Ubunge itakutesa sana. Itakutesa hadi ukumbuke siku ile ulipojiunga kule na kuambiwa yale. Utakumbuka jinsi ulivyoaminika kisiasa kuwa wewe ni mpinzani na hata kupata nafasi huko. Utakumbuka na kujuta kwa kujianika kirahisi.

Time will tell!

Tujihadhari na ugonjwa wa Corona!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha, Tanzania)
Hizi habari naona singeni maana wanasiasa wengi lengo ni kupata kipato hata huyu anapambana na hari yake mwacheni.
 
Najua kila jambo lako. Nimekutangulia kila ulipopita. Kuanzia shule, JKT, Chuo Kikuu na hata kule kwenye Kitengo. Nakufahamu hadi kuishiwa hamu. Nakujua nje na ndani kuliko maboga niliyoyaotesha uani. Ndugu Mbatia umepotea.

Ukawasiliana na wakuu wa chama na Serikali. 'Ukaombwa' upewe 'kazi maalum' ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu wamwaka huu. Ukaambiwa kuwa mwaka huu ni zamu yako tukibeba chama chetu, na chama chetu kitagharimia kila jambo. Kwamba utawazeshwa ili uweze.

Ukaitwa Ikulu. Ukathibitisha kukubali na kusisitiziwa ahadi ya Ubunge uliyopewa tangu mwanzo kwa jimbo utakalolitaka. Na ukaahidiwa kuwa Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni. Ukaahidiwa na mambo lukuki matamumatamu. Tayari umeshaanza kazi. Kazi yako inaendelea vyema kabisa.

Ndugu Mbatia, ahadi ya Ubunge itakutesa sana. Itakutesa hadi ukumbuke siku ile ulipojiunga kule na kuambiwa yale. Utakumbuka jinsi ulivyoaminika kisiasa kuwa wewe ni mpinzani na hata kupata nafasi huko. Utakumbuka na kujuta kwa kujianika kirahisi.

Time will tell!

Tujihadhari na ugonjwa wa Corona!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha, Tanzania)
Huyu tunamjua kitambo kuwa ni mtumishi mwandamizi wa tiss nashangaa intelligence ya upinzani kutomshtukia mapema
 
Najua kila jambo lako. Nimekutangulia kila ulipopita. Kuanzia shule, JKT, Chuo Kikuu na hata kule kwenye Kitengo. Nakufahamu hadi kuishiwa hamu. Nakujua nje na ndani kuliko maboga niliyoyaotesha uani. Ndugu Mbatia umepotea.

Ukawasiliana na wakuu wa chama na Serikali. 'Ukaombwa' upewe 'kazi maalum' ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu wamwaka huu. Ukaambiwa kuwa mwaka huu ni zamu yako tukibeba chama chetu, na chama chetu kitagharimia kila jambo. Kwamba utawazeshwa ili uweze.

Ukaitwa Ikulu. Ukathibitisha kukubali na kusisitiziwa ahadi ya Ubunge uliyopewa tangu mwanzo kwa jimbo utakalolitaka. Na ukaahidiwa kuwa Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni. Ukaahidiwa na mambo lukuki matamumatamu. Tayari umeshaanza kazi. Kazi yako inaendelea vyema kabisa.

Ndugu Mbatia, ahadi ya Ubunge itakutesa sana. Itakutesa hadi ukumbuke siku ile ulipojiunga kule na kuambiwa yale. Utakumbuka jinsi ulivyoaminika kisiasa kuwa wewe ni mpinzani na hata kupata nafasi huko. Utakumbuka na kujuta kwa kujianika kirahisi.

Time will tell!

Tujihadhari na ugonjwa wa Corona!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha, Tanzania)

Kwani huko alipoaminiwa alipata nni katika chma chake? Kama ni wabunge walipungua kutoka watano hadi mmoja, sasa ana cha kupoteza kipi?
 
Najua kila jambo lako. Nimekutangulia kila ulipopita. Kuanzia shule, JKT, Chuo Kikuu na hata kule kwenye Kitengo. Nakufahamu hadi kuishiwa hamu. Nakujua nje na ndani kuliko maboga niliyoyaotesha uani. Ndugu Mbatia umepotea.

Ukawasiliana na wakuu wa chama na Serikali. 'Ukaombwa' upewe 'kazi maalum' ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu wamwaka huu. Ukaambiwa kuwa mwaka huu ni zamu yako tukibeba chama chetu, na chama chetu kitagharimia kila jambo. Kwamba utawazeshwa ili uweze.

Ukaitwa Ikulu. Ukathibitisha kukubali na kusisitiziwa ahadi ya Ubunge uliyopewa tangu mwanzo kwa jimbo utakalolitaka. Na ukaahidiwa kuwa Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni. Ukaahidiwa na mambo lukuki matamumatamu. Tayari umeshaanza kazi. Kazi yako inaendelea vyema kabisa.

Ndugu Mbatia, ahadi ya Ubunge itakutesa sana. Itakutesa hadi ukumbuke siku ile ulipojiunga kule na kuambiwa yale. Utakumbuka jinsi ulivyoaminika kisiasa kuwa wewe ni mpinzani na hata kupata nafasi huko. Utakumbuka na kujuta kwa kujianika kirahisi.

Time will tell!

Tujihadhari na ugonjwa wa Corona!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha, Tanzania)
Wacha tuonje KUB mwingine bana tumechoka na Mbowe
 
Mbatia atatumika zaidi iwapo CHADEMA watasusia uchaguzi kwakutokuwepo kwa tume huru ya uchaguzi. Mbatia atasimamisha wagombea wa udiwani na ubunge nchi nzima na yeye atagombea urais kwa bosheni. Ili mradi ionekane uchaguzi Mkuu umefanyika kwa uhuru na haki. Mwisho wa shoo shetani jiwe aonekane ameshinda kihalali.
 
Back
Top Bottom