Mbasha amekimbilia kwenye bongo movie?

Mbasha amekimbilia kwenye bongo movie?

Bora aende huko akatengeneze pesa.
Kwa kweli ni bora aende huko akatengeneze pesa za kwakwkwani pamoja na mchangokwa mekewe anaonekana mdandiaji. Na kwa upande wangu naona video za Flora zilivutia kwa kuwepoi mme wake.
 
Acha uwongo.
Hiyo ilikuwa ni birthday party ya Cheni.
Na hapo Cheni alikuwa anamlisha keki mbasha.

By the way, heading imekuja kwa njia ya swali. ndio maana kuna question mark.

Acha kukurupuka.

picha zaidi: Hivi ndivyo Dr.Cheni alivyosherehekea siku yake ya kuzaliwa July 20. | TZA_MillardAyo
acha uongo hiyo ni party ina kama wiki tatu nyuma na ilikuwa na mastaa kibao wa bongo movie, bongo flava
ambao wanatingisha afrika na kuheshimika dunia nzima , ilikuwa ya kumpongeza DANGOTE PLATINUM kwa kuwa mtanzania wa kwanza kupata hollywood walk of fame, Dr cheni ni mtu mzima sasa , there is no way anaweza kufanya birthday party , acheni uongo jamani
 
Niliposoma hapo kwenye red tuu nimeamua nisibishane na wewe.
 
....wanaume wanalishana keki?!.....hizi tamaduni zingine aisee......
 
acha uongo hiyo ni party ina kama wiki tatu nyuma na ilikuwa na mastaa kibao wa bongo movie, bongo flava
ambao wanatingisha afrika na kuheshimika dunia nzima , ilikuwa ya kumpongeza DANGOTE PLATINUM kwa kuwa mtanzania wa kwanza kupata hollywood walk of fame, Dr cheni ni mtu mzima sasa , there is no way anaweza kufanya birthday party , acheni uongo jamani

yaani we inabidi upewe certificate of award kwa uongo.....,
 
Eti huyu kaka ni handsome duu macho yangu hayaoni nahisii
 
Back
Top Bottom