ilikua harusi flani na mc alikua cheni na mbasha alikua ni mmoja wa jamaa wa karibu wa mwenye harysi
NA TULIUDHURIA ACHA KUDANGANYA UMAAAAA
....kwani ilikuwaje...?Kuna harusi moja Dr.Chen bwana alikuwa MC kidogo atoroke,ilikuwa harusi ya mdogo wake na Mbunge wa Tarime Nyambari Nyangwine.Dr.Chen mimi namsshauri tu akoncetrate kwenye maigizo yake yatamlipa issue ya ue MC awaachie wengine
ilikua harusi flani na mc alikua cheni na mbasha alikua ni mmoja wa jamaa wa karibu wa mwenye harysi. NA TULIUDHURIA ACHA KUDANGANYA UMAAAAA
Acha uwongo. Hiyo ilikuwa ni birthday party ya Cheni. Acha kukurupuka.
Huyo mbasha midefu udhani ustadhi....................
....kwani ilikuwaje...?
ok nilikuwa silifahamu hilo.jamaa alikuaga mslam.
Aise kuna watu waongo duniani mpaka unaogopa dah! kama ni uongo mama wewe unayo Phd!!ilikua harusi flani na mc alikua cheni na mbasha alikua ni mmoja wa jamaa wa karibu wa mwenye harysi
NA TULIUDHURIA ACHA KUDANGANYA UMAAAAA
ilikua harusi flani na mc alikua cheni na mbasha alikua ni mmoja wa jamaa wa karibu wa mwenye harysi
NA TULIUDHURIA ACHA KUDANGANYA UMAAAAA
Huyo mbasha midefu udhani ustadhi....................
ilikua harusi flani na mc alikua cheni na mbasha alikua ni mmoja wa jamaa wa karibu wa mwenye harysi
NA TULIUDHURIA ACHA KUDANGANYA UMAAAAA
Sasa kati yenu nani mwongo hapa?
Ni wa kule kwetu.Mbona kama ana ki nembo cha chagadema begani au macho yangu!