Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Umenishinda kwa tabia😂😂Hadi uzoefu na Makabila unayo..😂😂Sasa awe mhaya na mnyiramba sasa🤣🤣🤣
Umenishinda kwa tabia😂😂Hadi uzoefu na Makabila unayo..😂😂Sasa awe mhaya na mnyiramba sasa🤣🤣🤣
Tumfate UEFA- PSGJuzi kweny FWC ndio nilishindwa jizuia kuwa nakumkubali huyu masta.
Aiseee
Wakati anafunga goli la kwanza kipindi cha pili aise nilipata furaha na mtetemeko wa ajabu.
Itoshe kusema Mbappe ndie aliyenifanya niangalie mpira😂😂
😘😘😘
Hahaha hutathubutu, wadada mlivo na ego/pride, utasubiri mbape akuanze DemiHuyo unamrukia na kumla denda haihitaji maneno mengi kujieleza
Hawana mambo mengi🤣🤣.Short chassis wanashukrani sana🤣🤣🤣🤣
Nikewahi kuangalia filamu yake🤣🤣🤣Umenishinda kwa tabia😂😂Hadi uzoefu na Makabila unayo..😂😂
Tokea asubuhi ndio nacheka muda huu. Duu kweli wewe Ni mhuni kitambo una mbinu za kimedani Ni asli yako nimekunyooshea mikono the jackal hii Ni ya mbususu nadhani. Eti mwambie Leo nakuletea yaani anaileta ili tu amkomeshe huyo demu wako. Yaani angekuja kujua nadhani angekukubali kinyama ujue.Kuna Demu nilikuaga nampenda sana wakati nipo Advance Level, ila yeye akawa chenga sana.
Basi nikaingia FB nikafungua akaunti ya kidemu , nikaaanza kupost picha za Demu fulan mkaliiii kweli .
Baada kama wiki, nikamfata Inbobo yule Demu nlokua namtafuta nikawa ninajifanya.
Weee mshenzi nianchie Bwanangu, wanaume wamekukosa mpaka ujishobokeshe, mwanaume wangu hakupendiii na hawez kua na mwanamke kama weeee, una Kwa mfano ??.
Na mablaa blaaah mengi.
Yule Manzi, akajawa na hasira za mkidhi , basi Akanitafuta Et anasemaje
"Yaan G mwambie Demu wako kua Sasa nitatembea Nawewe, na Leo nakuleteaaa ".
Kama masihara Demu, alikujaga mida ya saa kumi jion, nikala Mzigo 🤣🤣🤣
Kilichotuvutiaaa zaidi ni ule uactiveee wa ishu yakeeee...kijana yupooooo vereeeee😅😅😅😅..mtusamehee tu jamani tumeshindwaa kujizuiaaaUnamaana gan🤣🤣🤣
Kwahiyo sisi ni wasindikizaji au
Na Salam zimfikieChakorii nakuymia salamu😂😂😂
Weweeee sio.wote wapo hivyo. Huyo hatongozwi anashangaa tu ulimi ushafika mdomoni
Hahahaha huo active , kitandan usikute ni mwingine.Kilichotuvutiaaa zaidi ni ule uactiveee wa ishu yakeeee...kijana yupooooo vereeeee😅😅😅😅..mtusamehee tu jamani tumeshindwaa kujizuiaaa
Onaaa ulivyooo na wivuuu😅😅😅😅😂😂Hahahaha huo active , kitandan usikute ni mwingine.
Ulishawah Tiana na mchizi, alafu ukajuta why umetiana ??.
Njooo Kwa wasukuma, tunakula manumbu na maziwa 🤣🤣🤣
Weeeeeee
Huleti papara nae kabisa.kwanza unaanza kuielezea mara ya kwanza kupanda ndege katika umri wa 11yrs kwenda kuichezea Sijui chelsea ya watoto ile,Bayern Munich na nyinginezo..
🤣🤣🤣 Eehh akajua anamkomoaa , kumbeee ni mbinu tu za kivita .Tokea asubuhi ndio nacheka muda huu. Duu kweli wewe Ni mhuni kitambo una mbinu za kimedani Ni asli yako nimekunyooshea mikono the jackal hii Ni ya mbususu nadhani. Eti mwambie Leo nakuletea yaani anaileta ili tu amkomeshe huyo demu wako. Yaani angekuja kujua nadhani angekukubali kinyama ujue.
Unamla kimasihara sio?🤣Huleti papara nae kabisa.kwanza unaanza kuielezea mara ya kwanza kupanda ndege katika umri wa 11yrs kwenda kuichezea Sijui chelsea ya watoto ile,Bayern Munich na nyinginezo..
Namvuta,,namvuta tena stori zetu hapo sahiyo ni mpira tu😂😂nikishaanza nae lazima tutakuwa na majibuzano tu..nitakuwa nimepata pakuanzia
Yatakayoendelea huko sitokuhadithia.
Kwa mfano
Hahahahah Bless mom Nina Damu na Moyo 🤣🤣🤣Onaaa ulivyooo na wivuuu😅😅😅😅😂😂
Hebu ngoja kwanza 😂Short woman ni wazuri, wanapenda kudeka na wadekezwe, ukiwa unatembea naye mtaan anapenda umshike 🤣🤣
Ni wazuri kwakweli Sanaa tu!!.