Mbappe kanitekea demu wangu

Mbappe kanitekea demu wangu

Sijui ndio huyohuyo au vipi ,maana mimi kuna manzi nina namba yake tokea jana hadi leo status za makopa kwa Mbappe na kumbe za mahaba mpk Dp kaweka ya Mbappe mpaka nahisi amekuwa kichaa tayari.
Dah mwana inaezekana, jina lake linaanza na M?
 
We phalla umeniwahi.
Kwa kifupi ukiwa na mpenzi mwenye utani mwingi, yuko huru kwako unataka nini zaidi?

Hata mwanaume ukiwa na viutani vingi vyenya mipaka ni rahisi kuwateka hawa wadudu

Mimi sipendi msichana aliyepooza kama mlenda.
Napenda changamoto, utani nk.

Hapa jf kuna wadada wajanja wa janja sana na ukiangalia wana followers wengi sana.
Sababu kubwa ni mvuto kupitia utani
Hamtutaki sisi Wapole
 
😂😂Poleni jamani tupooo pamojaaa...Ila kwaa ishuu ya Mbappe tumeshindwaa kujizuiaaa...na sisi tunapendaa vitu vizuriiiii..
Nikweli mwapenda vizuri ,ila mvipende kimoyomoyo ,Sasa nyie Leo mnatufanyia unyanyasaji wa kijisinsia ulochanganyana na kisaikolojia khaaaa.

Sasa kama na kibamia nifanyeje ? Sio haki🤣🤣🤣
 
Madem utawaweza, Brazil walivyotolewa, Status za Madem wengi wasap ilikua

"Ohoooo Pole My Neymar"

"Jamaan Brazil why??"

Na ma blaaaa blaaaah kibao !!.


Juzi ya Akina mbapeee ,basi jamaa

"mbapeeee wanguuuu "

Na mbalaaa blaaaah.


Wasiwasi wangu nikama Demu wako nayeye ameingis kwenye mkumbo wa PICHA ZA MBAPE ,alopigwa akionekana mbooo imesimama.


Hivi Wanawake unawajua?? Unaweza Hisi anamsifia Kila Mara Kwa sababu kafunga magoli, la hashaa, ni Kwa sababu ya hiyo picha mitandao .


Cha kufanya ??


Muulize Baby, Mbape anachezea Klabu gan???? Akikujibu, "Ufaransa"...


Mpige economic sanctions yaaan NO MATUMIZI.....huyo Mbape aanze kumtunza !!


jamani babee mbape amtunze tena

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom