Mbappe kanitekea demu wangu

Mbappe kanitekea demu wangu

Oyooooooo, Jibu hili hapa, Tena Jibu sahihi lisilo na maruwe ruwe !!.

Mimi nimeoa Mke wangu mzurii kwelikweli ,mtoto white, figaaa ni marhabaaa.


Huwa nikitongoza mchepuko, mchepuko akawa ananizungusha , naanza kumpost Wife na wanangu wasap.


Yule manzi akiona picha ya mke wangu , anaanza, Ohoooo jamaan unamke mzuri Ivo...she is beautiful..Mara ,ohoooo kwangu unataka nn?? Kipi mkeo Hana mie nacho??.

Najua tayariiiii ng'ombe kajitanguliza kibra !!.


Nakubaliana Nawewe Authority 100%
We jamaa unatumia picha ya mkeo kupata michepuko
 
Ukweli mchungu *****.
Samahani namie demu wangu atakuwa. Mie huwa nakataa kabisa kuhusu demu anayekuomba pesa. Yaani nikiombwa tu najua sipendwi. Kama napendwa ili nioe sipendwi. Demu akikupatia k kisa umemuahidi kumuoa huyo hajakupenda. Wanaopendwa wanapewa unconditionally. That's what I believe and it's true. Demu naye Ni mtu huwa Ana hisia. Sema Kama hakupendi atakuambia hudumia wanaohudumia ndio wanaokulaga Mara wenye kisu yaani Ni ilimradi wao wahalalishe wewe utoe hela. Nikuulize tu kwani anaopendana nao akiwemo ndugu zake na wazazi wake mpaka wampe hela. Na wewe Ni binadamu Kama hao ndugu zake. Yaani nikipewa namba nikiombwa hata vocha mafuta namba. Namuita namuiliza aseme Ni Bei gani ili tumalizane kabisa najua nimeuziwa Basi yaishe
 
Kwa utani wangu nina matukio mengi sana ya kuchekesha🤣🤣

Machache;
1. Kuna NGO moja ya kidini tawi la WV mkurugenzi wake ni mchungaji flani matata sana na anaogopwa mnoo na wafanyakazi. Hiyo ofisi ina mabinti kwa 90% lkn hawako huru akiwwpo huyo mkurugenzi.

Mra nyingi

Kumbe demu mfupi?🤣🤣🤣🤣
Yaani short chassis🤣🤣letee
Nakuonea huruma maana vinachangamoto mfano hakuna 😂😂
 
Na wewe tafuta picha ya binti anayecheza yanga ama yule wa simba aliyekomaa komaa yule muweke status alaf weka vimaneno hapo pole bby wangu kwa mechi alaf subiria majibu

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Habari wakuu

Huyu binti katokea kumpenda sana Mbappe wa France kutwa kucha anampost na kumsifia na anamuita my heart choice.

Baada ya kugundua hilo kama mwanaume nimeamua nimute sina haja ya kuongea chochote maana ni kama sisi wengine ni hopeless kabisa.
Na wew tafuta demu mkal anyecheza mpira/ Kuimba half kila cku mpost kwa caption ya my princess 😄
 
Habari wakuu

Huyu binti katokea kumpenda sana Mbappe wa France kutwa kucha anampost na kumsifia na anamuita my heart choice.

Baada ya kugundua hilo kama mwanaume nimeamua nimute sina haja ya kuongea chochote maana ni kama sisi wengine ni hopeless kabisa.
Bila shaka pia kwenye status yake ya Whatsapp amemuwish Mbappe Happy birthday
 
We jamaa unatumia picha ya mkeo kupata michepuko
Mkuu wangu hata Usiwe serious !!

Mfano, wewe ndio mchepuko, Mimi nimpost wife, utajua dhumun la mm kumpost ?.


🤣🤣🤣... Wanawake Huwa mko kwenye competition siku zote ....

Na ukweli nikua, Huwa mnakawaida ya kujilinganisha .

Mnapoona mwanaume Yuko na Mwanamke mkaliiiiii kwelikweli, hapo ndo Huwa mnavutiwa zaidi nahuyo mwanaume.

Yaan "Mmhhhh inaonekana Carlos anakitu mpaka kuoa Mwanamke kama yule "...


Wanawake mnakawaida ya kuvutiwa na mwanaume ambaye ama anazungumzwa /Vutiwa vizuri na Wanawake tofauti tofauti au anatoka na mwanamke mzuriiiii.

Ni Asili tu !!
 
Wanawake mlivyo mamaeee, hapo unaanza linganisha hizo goli anazofunga, ndo zingekua bao anazotupia kitandan upo naye


Hahahahaha weeeeeeeeeee🤣🤣
Yaani demu ukiwa na status akiwa na wewe naye anajisikia kuwa sehemu ya Ile status. Ni sawa ukilala naye na wewe unajisikia umemla mwili wake upo ndani yako so umekuwa sehemu ya mwili wake ama umeuchukua unao ndani yako. Na ndio anayekupenda ukimvalia gandom mnakuwa maadui kinyama anapenda umpe mwili wako uote ndani yake. Jamani Kuna real love sema wanajifanya kuwa pesa umasikini unaharibu reality
 
Madem utawaweza, Brazil walivyotolewa, Status za Madem wengi wasap ilikua

"Ohoooo Pole My Neymar"

"Jamaan Brazil why??"

Na ma blaaaa blaaaah kibao !!.


Juzi ya Akina mbapeee ,basi jamaa

"mbapeeee wanguuuu "

Na mbalaaa blaaaah.


Wasiwasi wangu nikama Demu wako nayeye ameingis kwenye mkumbo wa PICHA ZA MBAPE ,alopigwa akionekana mbooo imesimama.


Hivi Wanawake unawajua?? Unaweza Hisi anamsifia Kila Mara Kwa sababu kafunga magoli, la hashaa, ni Kwa sababu ya hiyo picha mitandao .


Cha kufanya ??


Muulize Baby, Mbape anachezea Klabu gan???? Akikujibu, "Ufaransa"...


Mpige economic sanctions yaaan NO MATUMIZI.....huyo Mbape aanze kumtunza !!




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom