Mbappe kanitekea demu wangu

Mbappe kanitekea demu wangu

Nyieee nyieee Hawa huku ..

Nilishawambia Kila siku na Kila Mara ... Woman has absolutely no control over who to fall in love with !!.


Mwanamke anakua na Mwanaume yule tu atakayefanikiwa Kuziamsha Hisia zake !!

Ukiijua Siri hiii, unaweza kula za kimasihara mpaka shetani mwenyewe akakuambia "Doohh bwana Mdogo, nikuvishe crown yako tu maana hata Malaika waloasi namie, umewazidi kete ".



Muulize Demu , kwann ulikua na fulan kimahisiano? Simpoooo, atakujibu tuu, """Ilitokea"".

Hiii inamaana gan? Wanawake wanaongozwa na Hisia, and when they are sexually attracted Nawewe, Utawapanga BUS la Abood !!!.


Huwa hawaamui Logically kua na mtu, rather than emotionally.
We mwangalie alivyo aww 😋😋😋😋
Huyu akijaribu kunikiss kabla hajafikia lips nishazimia kitambo
 
Juzi kweny FWC ndio nilishindwa jizuia kuwa nakumkubali huyu masta.
Aiseee
Wakati anafunga goli la kwanza kipindi cha pili aise nilipata furaha na mtetemeko wa ajabu.

Itoshe kusema Mbappe ndie aliyenifanya niangalie mpira😂😂

😘😘😘
Sikuwa namjua jamani zaidi ya kumsikia jina..huyu anakukojolesha walai kabla hajakugusa
 
Wako ?

Nadhani tunakosea kudhani tunaweza kumiliki binadamu wewe enjoy tu ya leo na furahia ya jana kuhusu kesho hatujui..., kwahio mki-part ways wewe shukuru for the good moments alizokupa / mlizopeana na mkikutana tena mnaweza mkakumbushia kama nyote itawaridhia...

Life is Simple, ni sisi tu ndio tuna-complicate
 
Na wewe Anza kumpost yule Miss Croatia ila unahide wengine anaview yeye tu maana kwa mwanaume kufanya hivi ni umama. Post hata Mara nne kwa siku muda mwingine hata mko naye unaibusu picha ya huyo bibie. Atalalamika na wewe utamwambia na wewe ulivyokuwa unafanya. Then mtayaongea yataisha.
Oyooooooo, Jibu hili hapa, Tena Jibu sahihi lisilo na maruwe ruwe !!.

Mimi nimeoa Mke wangu mzurii kwelikweli ,mtoto white, figaaa ni marhabaaa.


Huwa nikitongoza mchepuko, mchepuko akawa ananizungusha , naanza kumpost Wife na wanangu wasap.


Yule manzi akiona picha ya mke wangu , anaanza, Ohoooo jamaan unamke mzuri Ivo...she is beautiful..Mara ,ohoooo kwangu unataka nn?? Kipi mkeo Hana mie nacho??.

Najua tayariiiii ng'ombe kajitanguliza kibra !!.


Nakubaliana Nawewe Authority 100%
 
Na wewe Anza kumpost yule Miss Croatia ila unahide wengine anaview yeye tu maana kwa mwanaume kufanya hivi ni umama. Post hata Mara nne kwa siku muda mwingine hata mko naye unaibusu picha ya huyo bibie. Atalalamika na wewe utamwambia na wewe ulivyokuwa unafanya. Then mtayaongea yataisha.
Haina haja ya kupita njia zake sema nshamdharau na kama walivosema wadau dawa ni kuweka vikwazo vya kiuchumi tu

Mbappe ni tajiri atamtunza
 
We mwangalie alivyo aww 😋😋😋😋
Huyu akijaribu kunikiss kabla hajafikia lips nishazimia kitambo
Kabla hujaondoka kitu Cha chupi, unakuta imeshaloaa chepechepeeeeeee mpaka mchuzi uamwagikiaaaa pembeni🤣🤣🤣

Weweeeeee weeeeeeeeeee
 
Habari wakuu

Huyu binti katokea kumpenda sana Mbappe wa France kutwa kucha anampost na kumsifia na anamuita my heart choice.

Baada ya kugundua hilo kama mwanaume nimeamua nimute sina haja ya kuongea chochote maana ni kama sisi wengine ni hopeless kabisa.
Sasa ushabiki wa mpira unaingiza kwenye mahusiano?
Japo pia huyo binti naye ni kimeo tu
 
Hapa ndio mjue hawapendi hela wanapenda status. Yaani huyo dogo akija bongo atawakula mademu zenu wote mnaojifanya mnahudumia. Tena atakuomba hata nauli japo akaliwe tu na mbape ujue.
Ukweli mchungu *****.
 
Wengine hata moira hawakuangalia wanafuata mkumbo tu, huyo mbape wala hawamfahamu amefanya nini,!!

Puuza tu, kama hupendezwi na hilo mkanye asifanye.
Mbaya zaidi unakuta weee ni Kafupiiiiiu keusiii kama Mimi🤣🤣🤣

Hapo nampiga Vikwazo Kila Mahali, mpaka asione weusi na ufupi, aone Umuhim wangu kwake .

Maninaaaa
 
Madem utawaweza, Brazil walivyotolewa, Status za Madem wengi wasap ilikua

"Ohoooo Pole My Neymar"

"Jamaan Brazil why??"

Na ma blaaaa blaaaah kibao !!.


Juzi ya Akina mbapeee ,basi jamaa

"mbapeeee wanguuuu "

Na mbalaaa blaaaah.


Wasiwasi wangu nikama Demu wako nayeye ameingis kwenye mkumbo wa PICHA ZA MBAPE ,alopigwa akionekana mbooo imesimama.


Hivi Wanawake unawajua?? Unaweza Hisi anamsifia Kila Mara Kwa sababu kafunga magoli, la hashaa, ni Kwa sababu ya hiyo picha mitandao .


Cha kufanya ??


Muulize Baby, Mbape anachezea Klabu gan???? Akikujibu, "Ufaransa"...


Mpige economic sanctions yaaan NO MATUMIZI.....huyo Mbape aanze kumtunza !!


🤣🤣
Falla sana wewe 🤣🤣🤣
 
IMG_6978.jpg

Anavutia kweli ,wana michezo ,waigizaji wa Hollywood,Wacheza basket huwa wanavutia kutokana na miili yao ilivyo
 
Hapa ndio mjue hawapendi hela wanapenda status. Yaani huyo dogo akija bongo atawakula mademu zenu wote mnaojifanya mnahudumia. Tena atakuomba hata nauli japo akaliwe tu na mbape ujue.
Atanyandua wote plus Juma Lokole ndani
 
Back
Top Bottom