Mbappe kanitekea demu wangu

Mbappe kanitekea demu wangu

Mkuu wangu hata Usiwe serious !!

Mfano, wewe ndio mchepuko, Mimi nimpost wife, utajua dhumun la mm kumpost ?.


🤣🤣🤣... Wanawake Huwa mko kwenye competition siku zote ....

Na ukweli nikua, Huwa mnakawaida ya kujilinganisha .

Mnapoona mwanaume Yuko na Mwanamke mkaliiiiii kwelikweli, hapo ndo Huwa mnavutiwa zaidi nahuyo mwanaume.

Yaan "Mmhhhh inaonekana Carlos anakitu mpaka kuoa Mwanamke kama yule "...


Wanawake mnakawaida ya kuvutiwa na mwanaume ambaye ama anazungumzwa /Vutiwa vizuri na Wanawake tofauti tofauti au anatoka na mwanamke mzuriiiii.

Ni Asili tu !!
Ni sawa ukaoa mzungu ukaishi naye bongo hizi black pusssies zitakuwa zinajileta zenyewe automatically. Umeongea ukweli. Nishawahi Kodi demu fulani lengo lilikuwa Ni kumteka mwingine.nilimpatia mkanda mzima. Akawa Kama gf wangu muda wote mahaba yule akaingia king
 
Madem utawaweza, Brazil walivyotolewa, Status za Madem wengi wasap ilikua

"Ohoooo Pole My Neymar"

"Jamaan Brazil why??"

Na ma blaaaa blaaaah kibao !!.


Juzi ya Akina mbapeee ,basi jamaa

"mbapeeee wanguuuu "

Na mbalaaa blaaaah.


Wasiwasi wangu nikama Demu wako nayeye ameingis kwenye mkumbo wa PICHA ZA MBAPE ,alopigwa akionekana mbooo imesimama.


Hivi Wanawake unawajua?? Unaweza Hisi anamsifia Kila Mara Kwa sababu kafunga magoli, la hashaa, ni Kwa sababu ya hiyo picha mitandao .


Cha kufanya ??


Muulize Baby, Mbape anachezea Klabu gan???? Akikujibu, "Ufaransa"...


Mpige economic sanctions yaaan NO MATUMIZI.....huyo Mbape aanze kumtunza !!


🤣🤣
Kwakweli apigwe sanctions tu hakuna jinsi.
Huwa ninampenda Messi ila sio kila saaa nimsifie mbele ya man wangu au hadi iwe kero.
Au kuna mkaka wa France mweusii ameivaa hatari kweli nimemtaman ila sio hadi uoneshe live umkere mwenzako.
Apigwe sanctions tu.
Nina ex boy wangu flan ilikuwa kila akimuona christinah shusho kwenye video zake anamsifia eti anampenda sana na ni mzuri... basi nilikuwa naumia sana
 
Kwa kweli yule kijana ni everywoman dream kwa kweli he is hot🔥🔥🔥
 
na wewe post hii mkuu
mr_misifa1_1671524133397974.jpg
 
Back
Top Bottom