yesamrich
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 2,551
- 4,561
Acha tu[emoji39]huyu mtoto anamajaribu jaman
Acha tu[emoji39]huyu mtoto anamajaribu jaman
MhmhMbappe ndio Mimi hapaView attachment 2453210
[emoji23][emoji23]Mke wangu anasumbuliwa na Mr been.kaweka profile picture View attachment 2452437
Kasheshe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
...hiyo ina maana Mbape angekuwepo bongo angejilia tena kwa kupelekewa, mvumilie sikukuu zinakaribia, akiomba chochote muambie kamuombe Mbape.Habari wakuu
Huyu binti katokea kumpenda sana Mbappe wa France kutwa kucha anampost na kumsifia na anamuita my heart choice.
Baada ya kugundua hilo kama mwanaume nimeamua nimute sina haja ya kuongea chochote maana ni kama sisi wengine ni hopeless kabisa.
Heri ya sikukuu na mwaka mpya binti yanguKasheshe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hiv humu jukwaan una partner? anakuchukuliaje?Sikuwa namjua jamani zaidi ya kumsikia jina..huyu anakukojolesha walai kabla hajakugusa
Ananipenda kinoma noma.hiv humu jukwaan una partner? anakuchukuliaje?
🤣🤣🤣Mbappe ana miaka 24..lakini mademu wa Jf wanamshobokea..sasa wewe jichanganye useme una miaka 24 utakavyoitwa mtoto humu Jf.
Sasa km nihizo mbona hapa bongo mnakutana nazoHujakosea kweli, niko kwenye hilo kundi
DuuuhhHe is so sexy!!!! [emoji3531]