Mbappe kanitekea demu wangu

Mbappe kanitekea demu wangu

Habari wakuu

Huyu binti katokea kumpenda sana Mbappe wa France kutwa kucha anampost na kumsifia na anamuita my heart choice.

Baada ya kugundua hilo kama mwanaume nimeamua nimute sina haja ya kuongea chochote maana ni kama sisi wengine ni hopeless kabisa.
Kuna mdada hajawahi kumpost mume wake kwa status hata siku Moja,ila juzi kawekwa mbape siku mbili mfululizo.
 
😄😄😄 na nyie si mlikua mnaringa na ile pisi ya #Croatia??
 
Nikweli mwapenda vizuri ,ila mvipende kimoyomoyo ,Sasa nyie Leo mnatufanyia unyanyasaji wa kijisinsia ulochanganyana na kisaikolojia khaaaa.

Sasa kama na kibamia nifanyeje ? Sio haki🤣🤣🤣
😅😅😅😅...basi hapooo wenzio tunaimaginee tupoo close na Mbappe vile amekushika kiuonooo from ze back sideeee..halafuuu mdomo anakunon'goneza kwa sikio Awwwweeeeeeh...I'm sorry mr Carlos😅😅
 
Sasa baby, embu fikiria Mimi sijawah postiwa, Leo hii Mbape anapostiwa anaambiwa Maneno matamuuu yakula aina .

Alafu usiku, Tumizi nitoe Mimi?? Sikukuu hizi ,Tumizi nitoe Mimi?.

Kwakweli amwambie Mbape tu🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Itakua ni wale watu akiwa na furaha, huzuni, wasi wasi au uoga basi yeye ana dinda.... judging from hizo picha mbili tofauti moja alikua ana furaha na nyengine huzuni
Daah we litundu😅
 
Back
Top Bottom