Mbappe ageuka gumzo Kwa kumvunjia adabu Messi

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,111
115,906
Wayne Rooney kashangaa Mbappe anatoa jeuri wapi ya kumletea ujeuri Messi wakati Messi alipokuwa umri huu wa Mbappe alikuwa na Ballon d Or nne?

Naona Mbappe anazidi kuongeza maadui, hata Perez alisema huyu Mbappe sio yule tulikuwa tunamtaka.
 
Screenshot_2022-08-19-00-29-23-525_com.android.chrome.jpg
 
Hata Kama Hana cha kutamba mbele ya Messi..hata Balon d or moja huyo Mbappe hana
Ana world cup messi hana Kiufupi dogo anajua kuwa yeye psg ni muhimu kuliko messi so yeye account hizo ballon d or anatamba kwa umuhimu wake na thamani anavyopewa psg same to messi kwenye kipindi chake barca alivyokuwa anasumbua wenzie na kwa umuhimu wake akiwa camp nuo
 
Rooney anatafuta tu attention. Kibega alichopigwa Messi ni ajali tu. Tena Messi ndiye aliyeingia kwa Mbappe. Na wanasema utaratibu ni kuwa ukikosa Penalty, mfano Neymar alikosa ya kwanza, basi inayofuata anapiga mwingine. Lakini Neymar na tabia mbovu akataka kupiga tena.

Naona wanataka tu kumbully dogo
Alie piga penalt ya kwamza akakosa ni nani ndugu ?
 
Wayne Rooney kashangaa Mbappe anatoa jeuri wapi ya kumletea ujeuri Messi wakati Messi alipokuwa umri huu WA Mbappe alikuwa na Ballon d or nne?...naona Mbappe anazidi kuongeza maadui ..hata Perez alisema huyu Mbappe sio Yule tulikuwa tunamtaka...
Amepewa huo ujeuri na mkataba mpya uliomfanya abakie hapo PSG.

Madaraka na fedha nyingi kwa kijana mdogo ni hatari
 
Inasemekana Mbappe alikubLi kusaini mkataba mpya PSG badala ya kwenda real madrid akitegemea kwamba Neymar ataondoka ili Mbappe aweze kuonekana zaidi uwanjani. Lakn bahat mbaya hilo halikufanikiwa. So Mbappe akaanza msimu akiwa na uchungu. Mbaya zaidi alipata majeraha kwaio mechi 2 za mwanzo hakucheza. Hzo game ikadhihirika wazi kua PSG ni bora bila hata yeye kuwepo.

Hivyo game ba Montepellier ndo jamaa akakosa penalt ya kwanza na akawa anamkomalia Neymar amuachie ya pili (chanzo cha ugomvi)., wakati policy ya tinu ni kuwa atakaewahi ndo apige.

After hapo Neynar akaja mtandaoni aka like tweet kama mbili ambazo zilikua znaonyesha mbappe hana kitu na anatukuzwa sana kwenye timu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom