uzururaji,kupora mikoba,kutukana watu na wizi wa ndoo za maji na ndala za milangoni....wenye makosa madogooo ...ndo yapiii ?
Non violent offenders..,,,,...wenye makosa madogooo ...ndo yapiii ?
kuomba rushwa.Sasa huyo Askari aliingia chumba cha mahabusu kufanya nini?
,yaani Polisi badala ya kusikitika kwa uzembe uliofanyika anaanza kutafuta vijisababu vya kujustfy,hawa polisi wetu wataendele kushikishwa adabu maana watu wameshajua hawana loloteHuyo mkuu wa polisi hamnazo! Kwa hiyo wa makossa madogo madogo wana haki ya kumpiga polisi na kutoroka? Shame!