Mbagala, Dar es Salaam: Mahabusu wadaiwa kumpiga askari na kutokomea kusikojulikana

doh ..hatari sana..sasa kibaka unatoroka si kujitafutia matatizo makubwa zaidi..
 
Huyo mkuu wa polisi hamnazo! Kwa hiyo wa makossa madogo madogo wana haki ya kumpiga polisi na kutoroka? Shame!
 
Nchi ya kitu kidoogo... mahabusu mnachanga teni teni watu 20 inapatikana 200,000 mnamkata mitama askari mnatokomea kupoteza ushahidi kwan shi ngap bwana .. kila mtu ashike njia yake ..wote tutakufa tu..askari wenyewe hao wote wana njaa kali ajabu.
 
Huyo mkuu wa polisi hamnazo! Kwa hiyo wa makossa madogo madogo wana haki ya kumpiga polisi na kutoroka? Shame!
,yaani Polisi badala ya kusikitika kwa uzembe uliofanyika anaanza kutafuta vijisababu vya kujustfy,hawa polisi wetu wataendele kushikishwa adabu maana watu wameshajua hawana lolote
 
Kutoroka sio issue issue ukidakwa utakula marungu halafu kesi yako haiwi ndogo tena unapewa na brand ya uto ulinzi unaimarishwa dhidi yako ukifika ngome
 
Makosa madogo madogo ....
Sasa wakirudishwa hapo si makosa yatakuwa
Makubwa kwao....

Ova
 
Back
Top Bottom