MBA UDOM: Lecurer kafaulisha 6 na kukamata 28

Kama ni huyo (Ami) mnamuonea aisee maana alikuwa yuko vizuri sana kwenye QM nalikuwa hakamati ovyo. Watoto siku hizi ndo vilaza.

Siku ambazo Umenikuna ni Leo! Akhsante. Mitoto Ya Siku Hizi Zero Brain Totally!!!!!!!!
 
Watu wanaenda kufanya mapenzi chuoni badala ya kusoma kwanini wasikamatwe??? Watakula huo UZINZI maisha yaliyobaki.

sio dr. Ame, aliyekamata nimeambiwa ni somebody Masoudie Khartoum... nasikia ana LLM hata u-dr hana, sijuw anafundishaje Masters Class
 
Any class with a failure rate more than half has some systemic issues. It's simply against the rules of simple statistics for a class with no systemic issue to have a higher failure rate. Either the admitted are not meeting the requirements or the marking style is impossibly stingy. It is also possible that there is no system at all and everything is arbitrary and decided on the fly with the mistaken academic sado masochism that a higher failure rate represents better education.

Lecturer ambaye darasa lake linafelisha watu wote hao anatakiwa kufukuzwa kazi.

Kwa kushindwa kufundisha, ama kwa kushindwa kujua mapema kwamba wanafunzi hawafundishiki na kuendelea kupoteza muda tu.
 
I Agree with you totally!
 
Hapo ni lecturer atakuwa na matatizo tu. Haiwezekani watu wote hao wawe ndo tatizo. Hao wazanzibar wana inferiority complex ndio maana wakiwa kwenye nafasi kama hiyo wanajitutumua ili waonekane wapo at the expense ya watoto zetu. Let's stop this non sense for the sake of our children
 
Any class with a failure rate more than half has some systemic issues. It's simply against the rules of simple statistics for a class with no systemic issue to have a higher failure rate. Either the admitted are not meeting the requirements or the marking style is impossibly stingy. It is also possible that there is no system at all and everything is arbitrary and decided on the fly with the mistaken academic sado masochism that a higher failure rate represents better education.

Lecturer ambaye darasa lake linafelisha watu wote hao anatakiwa kufukuzwa kazi.

Kwa kushindwa kufundisha, ama kwa kushindwa kujua mapema kwamba wanafunzi hawafundishiki na kuendelea kupoteza muda tu.

Hii ndio mwanzo wa kutatua tatizo sasa!!!!!
 
kwani maexternal ndo hawana njaa????

Kiasi gani wanalipwa kwa script na kutunga supp ili itoshe kumshawishi huyo external,examiners board,college board na senate!!!?????

Kama ni shida haiwezi kuwa kwa mwalimu tu,lawama sawa ila yawezekana hata wanafunzi wana lao wasilolitekeleza hata kama ni kusema "mwalimu hafai" lakini sio baada ya matokeo!!!!!!

Post grad class katika vyuo sitegemei watu kufeli hivi unless mwalimu na wanafunzi wameshiriki katika hilo!!!!!
 
Dah, mkuu mm hii sijaipenda kabisa. Mimi ni Mzanzibari nimeguswa na hili, labda naomba niulize kidogo, kwa kuanza kuwasakama wazanzibari na kuwachafulia jina ndio suluhisho la hilo tatizo? Na jee tunapandikiza mbegu gani ktk mioyo yetu na pengine hatma yetu huko mbele kama sote ni Watanzania wa taifa hili hili moja? Kama wasomi (naamini hivyo) tunapaswa kutawaliwa na hekima na busara zaidi. Sawa wakuu sijakasirika, huo ni mchango wangu tu kwa jinsi ya uelewa wangu na ninavyoyachukulia mambo.

Mungu atuongoze.
 
wakuu nimeomba udom na mimi MBA executive. ila sioni prospector yao hata kwenye mtandao. naomba kujua inachukua muda gani kumaliza, je, kuna specialization eg. acc, finence au ni general. Ikiwezekana masomo(contents) kwa hiyo program.

Nawasikiliza wakuu, nisaidieni kwa anaye fahamu
 
Back
Top Bottom