Mba tumaini iringa inatia aibu

KASUKU BUBU

Member
Dec 25, 2011
12
0
Ufundishaji wa Masters of Business Administration(MBA),Tumaini University unatia aibu sana. Utakuta mwanafunzi hana uwezo wa mathematics, alikotoka kote masomo ya mathematics kapata "F" a.k.a mswaki, lakini akijiunga MBA Tumaini University-Iringa ana graduate akiwa na "A" kwenye masomo yote involving mathematics.
Ikiwa Basic mathematics e.g jumlisha na kutoa decimal places mtu hawezi.. inakuaje apate "A" ya 96% ya financial management?
95% ya Quantitative mathematics? the same student anakiri wazi kuwa yeye hana uwezo na masomo hayo,sasa hizi "A" zinatoka wapi? Wapo waliomaliza MBA then hapo hapo wanaamua kusoma masterz ya Community Development the same university,ukiwauliza y,kwanini... wanakuambia MBA tumechakachuliwa.....,tuna vyeti without knowledge.

Tumaini inatupeleka wapi watanganyika?

Wahusika tunaomba mjirekebishe, hata kama ni biashara tangulizeni na uzalendo kwa taifa.
 
tumaini??? wanatoa mba nao, mi nilifikiri wanatoa diploma tuu.

mba soma UDSM, SUA, baaasi hakuna MBA NYINGINE HAPA TANZANIA...hata huko mzumbe, OPEN uongo mtupu
 
ya nini kutesana kukesha mavitabu? kama wamefanya maisha yawe rahisi kiasi icho basi mwaka huu na mimi nimo.
 
kama unataka cheti tu cha MBA wahi fasta Tumaini iringa bora udeposit fee yao. Mmmmmmmmmmmmmmm kama ni elimu ya MBA tafuta kwenye elimu.
 
Hvi tumain nacho ni chuo..??

Kwa mujibu wa TCaU ni chuo, wapo waliotoka Burundi na diploma zao then wanahamia Tumaini iringa na kujoin third year BBA na wanapewa degree zao. Matokeo ya diploma first year and second year yanageuzwa kuwa matokeo ya BBA degree first and second year. Unapewa cheti chako cha BBA tumaini univast iringa with "A",B+,A. Ukipata "C" mwone mtoa transcript hapo chuo(MBA Tumaini graduate) atarekebisha fasta na utapewa "A" yako hata kama hujui kuandika.
 
MBA hivi ni nzuri kwa wanasiasa na siyo watendaji wa companies
 
Mwenzenu najuta kusoma MBA(Banking &Finance)Tumaini, courses zote za banking & finance nimepewa B+, ilhali ukiniuliza risk management in banking sector sijui hata pa kuanzia.Nimefundishwa na assistance lecturer wa marketing courses karibia zote za banking.
Sasa hivi nimeanza kusoma upya LLM-finance Mlimani. Nimekoma
 
Wahusika wayatolee ufafanuzi haya malalamiko jamani!!!mbona inakatisha tamaa?
 
itabidi niende kusoma hapo, mwajiri wangu anahusudu vyeti sana....LOL
 
Wahusika wayatolee ufafanuzi haya malalamiko jamani!!!mbona inakatisha tamaa?

Kama una ndugu yako BBA Tumaini iringa muulize hili. "KUNA BINTI MMOJA AMEHAMIA THIRD YEAR BBA-ACCOUNTING IT WAS LAST YEAR AKITOKEA CHUO CHA RUHENGERI -RWANDA. (reg. no 05/0691).
FIRST SEMESTER HIYO HIYO THIRD YEAR AKAWA AMEDISCO, LAKINI SASA HIVI YUPO TENA THIRD YEAR BBA-HUMAN RESOURCE(reg no: .
Pamoja na walimu kushauri aondolewa kwa kukosa sifa bado uongozi wa chuo unalazimisha aendelee na masomo. Sasa hapa ni kwamba inalazimishwa apate cheti(mteja ni mfalme).

Fuatilia
 
Hizi allegations kama ni za kweli huyo mkuu wa KKKT itabidi atoe maelezo ya kina ni kwa nini hali iko hivyo. Lakini kwa Dayosisi ya Iringa nasikia huyo Askofu wa huko anaogopwa kama nini na hata mkuu wa Kanisa hawezi kumuuliza chochote.

Hata hivyo nashukuru kwa hii alert kwani yeyote atakaye kuja na vyeti vya Tumaini University mbele yangu, kazi hapati!!!!!

Tiba
 
Kwa mujibu wa TCaU ni chuo, wapo waliotoka Burundi na diploma zao then wanahamia Tumaini iringa na kujoin third year BBA na wanapewa degree zao. Matokeo ya diploma first year and second year yanageuzwa kuwa matokeo ya BBA degree first and second year. Unapewa cheti chako cha BBA tumaini univast iringa with "A",B+,A. Ukipata "C" mwone mtoa transcript hapo chuo(MBA Tumaini graduate) atarekebisha fasta na utapewa "A" yako hata kama hujui kuandika.

Mzee hiyo kali imeniahca hoi lakini inasikitisha sana!
 
Back
Top Bottom