Mb Dog umepotelea wapi ?

Mb Dog umepotelea wapi ?

Chezea OSATA weiweee? Ukienda kinyume lazima upotee jamaa wanajua figisu figisu.
 
Ngumu kweli kusimama kwenye game aisee! Si mnamwona #kiroboto a k a #kibrah anavyotembelea "choke"? Wale jamaa wa kona ya chuo kikuu wakoapi kwa sasa? Wapi inspector? Hawa ndio walikuwa wanawachongea njia kina platinum!
 
Kile kitu chake "ulinambia kama waja MB Dog mi nakungooojaaah" kiliwahi kunipatia demu sehemu 2005, dah kitambo...

Sasa we ndio ulijifanya MB Dog, demu akakuzimikia? Mnawaonea sana mademu wa uswahilini nyie.
 
Mara ya mwisho nilimuona mabibo mida kama ya saa 5 usiku na singlend tu tisheti kaweka begani.nahisi alikua kalewa bwaksi
 
Yupo, ila gemu kuna watu wamekaba mpaka penati. Ana baadhi ya nyimbo za hizi karibuni, ila redioni na tiviini hazichezwi. Siku hizi uwe na mzigo wa kutosha kununua airtime la sivyo inakula kwako hata kama ngoma ni kali. Yaonyesha mifuko yake mifupi sana.
 
Kuna mtu aliwahi kuniambia dogo ni mmoja kati ya punda waliofanikiwa kupata senti mbili tatu za kubadili mboga.
 
Nyimbo zake za sasa hv mbaya.....

Siku hizi hata nyimbo ikiwa mbaya, kama una fweza unanunua airtime, inapigwa mpaka watu wanaikariri bila kupenda, kisha wanaanza kuipenda. Aingie mifukoni kama anataka kuhit tena.
 
mmmh! Umekosea, ungenambia mb dog n nani na anafanya nn, na shughuli zake zilienea kipnd gan?
Hapo ningekueleza vzr.

Ww Khantwe mm nmkubwa kwako, sijui kama umefikia hatua hata ya kulala bila chupi. Ww hapo nikikupa umri mkubwa sana utakuwa basi ni 31 lakn nahsi hata huko hujafika....
.................... ................. .........
Mm ni waenzi zile za plea, chacha, laizon.
Unazikumbuka zile sim za mezan za kuzungusha?

Kwani kulala bila Picchu ndo ukubwa ? Hujui kuna watu wana miaka 19 wanalala pichuless huku watu wana miaka 40+ wanalala nazo?
Af kujua hayo sio kipimo cha ukubwa pia waweza kusimuliwa au kusoma vitabu
 
Last edited by a moderator:
Watu walishasema sanaaa eti vailet simpati tenaaa.....!!! Na ile nyingine
Inamaanaa hujui kwamba nakupenda sanaaa weeee.....!!! Zilibamba vilivyo way back 2006
 
Watu walishasema sanaaa eti vailet simpati tenaaa.....!!! Na ile nyingine
Inamaanaa hujui kwamba nakupenda sanaaa weeee.....!!! Zilibamba vilivyo way back 2006

Ambiere hiyo ya Vailet simpati tena sio ya dog ni ya tonya tym. Na wote ndio walikua wanakimbizana msimu m1.
 
Ambiere hiyo ya Vailet simpati tena sio ya dog ni ya tonya tym. Na wote ndio walikua wanakimbizana msimu m1.

Yeah upo sahihi nimekosea asante kwa masahihisho Master
 
Last edited by a moderator:
Kwani kulala bila Picchu ndo ukubwa ? Hujui kuna watu wana miaka 19 wanalala pichuless huku watu wana miaka 40+ wanalala nazo?
Af kujua hayo sio kipimo cha ukubwa pia waweza kusimuliwa au kusoma vitabu

ww dogo acha kushika p.mb. Za babu mm mkubwa kwako haswa.
Hvi mwaka 1979 ulikuwa wapi?

Hapo naamini kwa miaka hyo ulikuwa bado kwenye damu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom