Hahahahahaaa... Mupe huyo wa cokacola, huyo anakunywa nini vile ''henken'' mruke, na huyo mruke, huyo wa maji mpe, soda hao hapo wape,.... mruke pia anayekunywa redbull karibu na Mr Rocky.
Nipo salama sana kaka. salaam sana kwa Mr Rocky, utafiti, miss chagga, Mndengereko na chama loote.
Shemdarling ulikuwa wapi? Nimekumiss sana aisee
Nipo sana shemeji yangu kipenzi. nilikumisi pia. :cool2: 😛eep: :cool2:
Hahahahahaaa... Mupe huyo wa cokacola, huyo anakunywa nini vile ''henken'' mruke, na huyo mruke, huyo wa maji mpe, soda hao hapo wape,.... mruke pia anayekunywa redbull karibu na Mr Rocky.
Nipo salama sana kaka. salaam sana kwa Mr Rocky, utafiti, miss chagga, Mndengereko na chama loote.
Shemdarling ulikuwa wapi? Nimekumiss sana aisee
utafiti achaga umbea...tena ole wako ukamsimulie mkeo hii habari
Aah katika mtu anaweza siri mimi mmoja, yaani naanzaje kumwambia mke wangu miss neddy kua Khantwe kamwita Tized jina jipya leo?? Aaa siwezi kabisa aisee
Hahahahaaaa lol.... I trust u najua wifi miss neddy hatapata hii habari
Aah katika mtu anaweza siri mimi mmoja, yaani naanzaje kumwambia mke wangu miss neddy kua Khantwe kamwita Tized jina jipya leo?? Aaa siwezi kabisa aisee
''Lets Get On'' by Marvin Gaye