Seif al Islam
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 2,156
- 640
anajihusisha na mambo ya china.c unayajua?
Hahaha...bas laaziz hutaniwi..??
dah! Moyo umelipuka lipuuuuu!
Hilo jina uliloniita?!!
Nataman ingekuwa kweli
Eeeh...we nawee...
nini sasa.. Jiangalie we mtoto ohooo
Nijiangalie nini sasa
Hajui ata kuiba huyo si unaona anavyokuambia jiangalie....!
Bby Unajua nimekumiss sn weye..?
Kwahiyo mie ndio mchepuko? Aiseee mbona inasound poa sn hiyo...?!?!
Unamaanishaje switheart...inasound poa wewe kuwa mchepuko???