Mb Dog umepotelea wapi ?

Mb Dog umepotelea wapi ?

Sikutaka kumjibu mie kutokana na yeye kudai kua yeye ni njia kuu... Lkn swali lako hili lina maana kwamba yeye si njia kuu wala kua chepuko....!

Sasa na wewe mpenz unashindwa kupima? Watu tumezaa watoto hadi tuna wakwe na tunakaribia kupata wajukuu mtu kukuita mchepuko unatingishika??? Acha hizo baba watoto
 
Nilimuacha ajifurahishe swty...! Kwani unamuona tena? Hapa utamuona mlinzi wangu tu mshana jr maana Huyu mlinzi wangu anavyokutrack ni balaa...!
 
Last edited by a moderator:

Hahahaa huyu mlinzi kiboko....amefunga kamera kila kona
 
Last edited by a moderator:
MB dog anapiga tripu za mara kwa mara south africa....

mkuu halahala tu na hizo tripu zake za SA,usikute ana traffic yale mambo yaleeeeee.asije akakamatwa kama chid benz.siku zote huwa siwaamini watoto waliokulia manzese,magomeni,ilala na kindondoni kwa manyanya.wengi huwa ni wauza unga.
 
Huu uzi umevurugwa, naona hata mleta uzi kaingizwa vuruguni.
 
mkuu halahala tu na hizo tripu zake za SA,usikute ana traffic yale mambo yaleeeeee.asije akakamatwa kama chid benz.siku zote huwa siwaamini watoto waliokulia manzese,magomeni,ilala na kindondoni kwa manyanya.wengi huwa ni wauza unga.

hilo mbona liko wazi, kwani hata mangwea alikuwa south africa "kikazi". cha ajabu mziki wake bongo tulishausahau lakini huko SA "alikuwa anapiga show". Huwa sijui wanamdanganya nani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom