Mazungumzo yasiyosikika

ila mhh mi hii hali ianitokeaga sana nikiwa ibadani yaan unakuta mawazo yamehama..nikisikia amen duh nashtuka narud kwenye kusikiliza..!ila unakuta mambo mengi yameshanipita

Mimi huwa inatokea lakini hakuna kipindi nilipata wakati mgumu kama wakati nasoma!...badala niconcentrate na kumsikiliza lecturer, nawaza vitu fulani afu vya kipuuzi puuzi ila ndo navutiwa navyo balaa!
 
Hayo mazungumzo yasiyosikika kupitia ndimi zetu Ndio kipimo hasa cha HEKIMA na BUSARA ambayo mwanadamu amejaliwa na MUNGU....
....Humu fb kuna makumi ya watu huandika nyuzi au comments na kisha kuzifuta hata kabla hawajazipost...
....barabarani kwa mfano mtu akikuchomekea kuna mazungumzo ya ndani ambayo huendelea Ndio maana wasiojizuia hushusha kioo na kumwaga matusi....
....mke wako au concubine usipom.t.o...mb...a vizuri ni Mara nyingi huwa na mazungumzo ya kejeli,dharau au kukuhurumia asie na simile atakuambia...

KWA HIYO bwana Mshana haya mazungumzo mi nayaita ni muhimu kwa sababu yanaipima IMANI,BUSARA,HEKIMA,SUBIRA na UTASHI wa binadamu...na humtofautisha binadamu kutoka kwa mnyama.
 
N'yadikwa asante Ila kwenye hii reply yako kuna kitu kimenichekesha Sana but let me reserve my comment
 
Last edited by a moderator:
mshana jr, asante, kwenye kuwaza naweza kupigana kutukana kumsuta na wakati mwingine najisahau nacheka peke yang,au nasonya pia. Kikweli ni mengi zaid ya tunayosema kwa sauti.
 
Last edited by a moderator:
Na kuna ile hali baada ya mabishano au maongezi fulani. Ambapo THE BEST ANSWERS au best words that you could have used in the conversation ndo zinakuja na hata majibu ya uliyekua unaongea naye utayasikia. Inafika mpaka unajilaumu kwa kutokusema hvyo
Haya pia ni mazungumzo Yasiyosikika
 
Unajua haya mazungumzo huandikwa kwenye nyuso zetu kwakuwa kuna gestures bila hata ya mtu kusema chochote utajua tu anawaza nini au anamaanisha nini
 
Last edited by a moderator:
Hapa Naona Mada Yot Bdo Inaturudisha Kwnye Umuhmu Wa Kufanya Meditation,ndg Mshanajr Naomb Niulze Nawezaje Kuondoa Haya Madud Akilin M Nasumbuliwa Sna Na Kuwazia Vitu Vya Kutisha Yan Nikiwa Mwenyew Ama Hat Katika Ibada Nakuwa Nawazia Mambo Nilio Yaon Mfan Watu Wanao Ombewa Mapep Na Kutamka Yale Manen Hadh Nazo Sma Ama Kusimulwa Za Mamb Ya Kuogofya Zot Znakuwa Akiln Ht Kupumzka Ndan Ziwez Bila Kuwa Na Simu Labda Nasma Na Ht Nkiwa Nasma Najikut T Kuna Vit Vya Kuogopesha Bdo Vnakuja Akiln,Kuna Mda Nlikuwa Najifunza Meditation Kuptia Masom Yak Na Ya Ndgu Wengne Bt Sikufanikiwa Kwn Ile Nkiwa Kwnye Concetration State Haya Mamb Ya Kuogpesha Na Stor Nlizo Skia Na Kusma Hujitokeza ,NAOMBA USHAUR WA JINS YA KUKABILIAN NA HIL karibun na wengn kwa ushaur wnu
 
Upo exposed na mapepo wanasema vulnability to demons
 
Thanks Mkuu Ngoja Nikomae Na Vyote Budha -meditation Na Maombi Asant Sana Ila Jamb La Mwsho Ningeomba Unipe Ufafanuz Kidgo Juu Ya Vulnabirity To Demons Kwa Undan Kidog Iwe Msaad Kwangu Na Wengine
 
Mazungumzo yasiyosikika ni asilimia tisini ya mazungumzo yetu yote yanayosikika kila siku katika maisha yetu.

Mazungumzo yasiyosikika ni yale tunayoongea wenyewe kwenye bongo zetu, tunapanga tunapangua tunakumbuka hili tunawaza hili yote haya kimya kimya lakini wakati huo uko unafanya jambo lingine au unasikiliza mazungumzo mengine au unaongea Mko kwenye mkusanyiko wa watu, kanisani, msikitini, kwenye kutano au kwenye chombo cha usafiri kuna wazungumzaji wachache wanaongea mnawasilikiliza kwa makini mko kimya, lakini kiuhalisia kila mmoja yuko busy akilini mwake anaongea yake.

Mazungumzo yasiyosikika ni mengi mno na kama kila mmoja angetaka kuyaongea kwa sauti inayosikika basi dunia ingejaa mwangwi mkubwa mno yani ni kama vile walokole wanaposali kwa sauti.

Ni kweli kabisa mkuu!!!!,hata mimi huwa inanitokea.
 
Kikwao inaitwa lack of concentration, wale wanaofanya meditation wanalijua vizuri hili yaani unapoanza tu kumakinika akilini inakuja live stream ya matukio, mipango na changamoto mbalimbali kichwani...unajikurupusha na kurudi kwenye umakini lakini mara yanakuja mengine.... Kuna watu hufikia kutoka jasho kwa ajili ya kupambana na hii hali

Jamani hata makanisani na misikitini mtu anakuona upon deep unasali..kumbe upo kimwili tu kiroho haupo....hahaha very nice thread
 
Thanks Mkuu Ngoja Nikomae Na Vyote Budha -meditation Na Maombi Asant Sana Ila Jamb La Mwsho Ningeomba Unipe Ufafanuz Kidgo Juu Ya Vulnabirity To Demons Kwa Undan Kidog Iwe Msaad Kwangu Na Wengine

Kama ilivyo kwa mbu kuwa kuna damu fulani wanaipenda na dsmons nao ni hivyo hivyo ni jambo tu la kiasili
 
Ni kweli....mazungumzo ya ndani ya bongo na akili zetu ndizo hutuongoza kuliko hizi sauti tunazotoa.
Na ndio maana mara nyingi sana matatizo ya kujidhuru au kudhuru wengine husababishwa na sauti hizi za kimya kimya....sauti hizi kuamua jambo ni haraka sana, huwa na amri kuliko sisi wenyewe...hupenda sana kutushurutisha pasipo sisi wenyewe kuwa na ufahamu uliojaa.
Huwa kama tumezinduka usingizini baada ya sauti hizi kutuongoza na kufanya kile ambacho sautj hizo kimeamua.
Sauti za ndani zina power kubwa kuliko tunavyofikiri.
Ndizo zinazoamrisha nini miili yetu itende.
Sauti hizi zinaweza kutenda kile ambacho kinapingana na miili.

Ni vyema kusikiliza sauti zetu zitokazo ndani ambazo zitatuongoza vyema na kuzitii....kama zinatuongoza vibaya, tusizitii ili kuepuka rabsha ya miili yetu.
Mshana Jr.....
 
Last edited by a moderator:
ndio maana wazungu wakaweka sehemu ya kuandika msg kwenye simu vuta picha ingekuwaje kila unachotaka kumwambia mwenzako kupitia simu lazima upige!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom