Mazungumzo yasiyosikika

ndio maana wazungu wakaweka sehemu ya kuandika msg kwenye simu vuta picha ingekuwaje kila unachotaka kumwambia mwenzako kupitia simu lazima upige!

Hiyo ni sehemu tu ya mazungumzo yasiyosikika kwakuwa hata kuandika ujumbe mfupi (msg), ni Yale unayoyawaza kimyakimya na kuyabadili kwenye maandishi
cc: kamajuzi,
 
Daaah! Itokee mtu amenikera anavyoendelea kuongea me kimya ila majibu nayompa ambayo hayasikii angesikia anaweza asiamini km ni mimi naemjibu akaishia kupata pressure na nilivyo naonekana mpole

unanitisha Luv
 
Last edited by a moderator:
1460178496807.jpg
 
Hebu pata picha hii umemdate mtu mmeenda vizuri sana mpaka ikafika siku ya siku! Unakuwa na hamu naye kweli mnapanda kitandani unamaliza ufundi wako wote halafu mwenzako yuko kimya baridi kabisa unafikiri anawaza nini kwa wakati ule? Hawezi kuwa mkweli kukwambia aslani
 
mshana jr nakuunga mkono mia kwa mia unajua ndani ya dk moja binadamu anawaza mamilioni ya mawazo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom