Unajua tafsiri ya kunani?Kunani ten mkaka
Nitaongeaje kitu ambacho sikijui jamnUnajua tafsiri ya kunani?
Akiwa yeye na mwenyewe?? KivipiBinadamu ni zaidi ya mmoja kwenye mwili mmoja na anauwezo wa kufanya vikao na maamuzi akiwa yeye na mwenyewe
Naisikia tu MshanaUnaifahamu dhana ya me, myself and I?
Hio sijawahi kusikia kabisa.Ok je habari ya vivuli vitatu?