FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,819
Anaulizwa Slaa Daktari wa kanoni, nyie wengine kinawauma nini na mwenyewe yuko hapa na kasema atajibu? Slaa jibu maswali ya MS bila kuchakachachuwa.
CDM inasemaje kuhusu Mahakama ya kadhi ambayo ni haki ya msingi ya waIslaam na kujiunga na OIC, hatujawasikia CDM wakiongelea hilo hata mara moja, lakini tumeona chama cha kikristo cha ujerumani kikiwatembelea au nyie mnafata udini wa kikristo zaidi katika siasa zenu? hususan ikiwa wewe ni Kaatibu Mkuu na msomi wa uDaktari wa kanoni bila shahada yoyote.