makokomakoko15
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 237
- 151
Nachukua fursa hii kuwakumbusha polisi kamwe umma haujaribiwi. Msicheze na moto.
Umma
Umma chaggadema??? Umma sisi tulio mchagua mh.rais ,tukampa na jeshi ili atumie kutulinda na watu kama nyie wa fyokofyoko.Democrasi mlipewa miaka kumi mkaishia kejeli,na matusi. Ebu pisheni kule hadanganywi mtu hapa
Nachukua fursa hii kuwakumbusha polisi kamwe umma haujaribiwi. Msicheze na moto.