Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,169
- 48,451
Kwenye siasa Lugha hujibiwa kwa Lugha na siyo kwa mitulinga ya dola. Trump kasema Obama ni rais wa hovyo kabisa kutokea katika siasa za nchi hiyo. Lakini Obama hakutuma maaskari wamkamate Trump, badala yake akajibu kuwa anashangaa ni kwa nini mpaka sasa Republikan bado wanamuunga mkono Trump mtu ambaye hana sifa za kuwa Rais wa Marekani na wala hakujiandaa kugombea nafasi kubwa kabisa kwenye nchi hiyo.Lugha zenu umesahau?