Mazoezi ya jeshi La polisi Morogoro, ITV

naona kama dalili za watu fulani kujiandaa kwenda mahakama ya kimataifa vile,
 
Mnadhani wanatania? Jifanye chizi uingie barabarani hiyo siku uone.

Haiwezekani uchezee amani ya nchi yetu ambayo watu walimwaga damu na wengine kuhatarisha maisha yao ili ipatikane.
Walimwaga damu kutoa wakoloni weupe..na sisi tunataka tuwatoe wakoloni weusi..
 
Hii mbinuu ni ya ovyio imepitwa na wakati kuliko mailezo ,uende kwa bahati mbaya sana utawala huu umejaa washamba kibao.hakuna tafsiri zaidi dhidi yao .subiri utaona jogoo Washamba awiki mjini .and don't forget its easy to brought a man from the bush but its not easy to brought a bush from a man .that its
Jifariji. Lakini nakuhakikishia hamtoboi, na ndo mwisho karata yenu,
 
Mnadhani wanatania? Jifanye chizi uingie barabarani hiyo siku uone.

Haiwezekani uchezee amani ya nchi yetu ambayo watu walimwaga damu na wengine kuhatarisha maisha yao ili ipatikane.
You new born baby go back to school .Uhuru Wa nchi uligombewa na waingereza kwa maslahi yao binafsi .Nyerere akiwakilisha watanganyika akauchukua kwenye meza ya mazungumzo .hakuna damu iliyomwagika .labda sasa Mwenyekiti Wa ccm asimamie umwagikaji Wa damu .kama kweli Anaamini anakwenda kuikomboa nchi ,ila Sijui ni kutoka kwa nani !!!???
 
Miwani haina impact ktk tukio walilopanga. Alafu watambue WATU WAZIMA HAWATISHIWI NYAU!!!.....hizo Depo karibia watanzania wote wamepita huko, wao wanaonekana bado mdebwedo sana mbona
 
Mnadhani wanatania? Jifanye chizi uingie barabarani hiyo siku uone.

Haiwezekani uchezee amani ya nchi yetu ambayo watu walimwaga damu na wengine kuhatarisha maisha yao ili ipatikane.
Nani alimwaga damu?
 
CCM bila dola hakuna kitu kabisa!! Kila siku CHADEMA wanatukanwa majukwaani lakini hawaendi kusemelea kokote, wao kusema tu kuwa wanafanya maandamano na mikutano basi imekuwa heka heka nchi nzima!!

Ingia barabarani September Mosi kamanda.
 
Ina maana hawana ratiba ya kuwa na mazoezi ya mara kwa mara mpaka UKUTA umefikia course ya sita?
 
You new born baby go back to school .Uhuru Wa nchi uligombewa na waingereza kwa maslahi yao binafsi .Nyerere akiwakilisha watanganyika akauchukua kwenye meza ya mazungumzo .hakuna damu iliyomwagika .labda sasa Mwenyekiti Wa ccm asimamie umwagikaji Wa damu .kama kweli Anaamini anakwenda kuikomboa nchi ,ila Sijui ni kutoka kwa nani !!!???
Hata historia ya vita vya Maji Maji huijui. Ngojea tarehe moja ugongwe gongwe kichwani ili fahamu irudi.
 
Mnadhani wanatania? Jifanye chizi uingie barabarani hiyo siku uone.

Haiwezekani uchezee amani ya nchi yetu ambayo watu walimwaga damu na wengine kuhatarisha maisha yao ili ipatikane.
SIGNATURE YAKO HAIENDANI NA MAWAZO YAKO FINYU
 
UKUTA NDIO MPANGO MZIMAAAAA WENYWE WAFANYE HADI MAZOEZI YA KUUA
 
Nimeamini pasi na shaka udikteta umetia tanzania, tumepata idi amin wetu
Sio mdogo .halafu mbaya Huyo bwana Alisha ombewa na Tb Joshua .means atakuwa mlokole .kwa kweli mpaka hapo napata picha ukiokoka ukirudia dhambi mapepo yanarudi Mara sabini ya yaliokuwepo mwanzo,sio bure anatuomba tumuombee kila kukicha .I am total sure now we fight a total evil power house .vinginevyo sioni kwanini anazuia watu kumsaidia kuvumbua majipu ili ayatumbue .Mimi mpaka hapa Nina wasi wasi mkubwa sijawahi kuwa nao maishani mwangu .haswa ukizingatia huyu raia ni Wa umri wangu,Eeee Mungu tureheemuu.na wapenda amani na Maendeleo wote waseme .Amina
 
You new born baby go back to school .Uhuru Wa nchi uligombewa na waingereza kwa maslahi yao binafsi .Nyerere akiwakilisha watanganyika akauchukua kwenye meza ya mazungumzo .hakuna damu iliyomwagika .labda sasa Mwenyekiti Wa ccm asimamie umwagikaji Wa damu .kama kweli Anaamini anakwenda kuikomboa nchi ,ila Sijui ni kutoka kwa nani !!!???
magufuli hawezi kukaa mezani na genge la vibaka.
Hawa hawana credibility ya kufanya mazungumzo na mkuu wa nchi.
Toka wabadili gear angani kwisha Habari Yao. Ni mwendawazim pekee anaweza kaa Meza moja na hawa wahuni komakoma.
 
Hii mbinuu ni ya ovyio imepitwa na wakati kuliko mailezo ,uende kwa bahati mbaya sana utawala huu umejaa washamba kibao.hakuna tafsiri zaidi dhidi yao .subiri utaona jogoo Washamba awiki mjini .and don't forget its easy to brought a man from the bush but its not easy to brought a bush from a man .that its
its=it's
brought=bring
that its=that it is
 
Back
Top Bottom