Mazoezi ya jeshi La polisi Morogoro, ITV

Mazoezi ya jeshi La polisi Morogoro, ITV

Jana Mwigulu kasema yeye tangu akiwa Darasa la sita alikuwa anafuatilia siasa za Uingereza na Marekani. Mbona hakusema alikuwa anafuatilia siasa za Kenya na Somalia, na yeye ana akili fupi kama mimi?
Zako ni fupi kuliko maelezo
 
Hii mbinuu ni ya ovyio imepitwa na wakati kuliko mailezo ,uende kwa bahati mbaya sana utawala huu umejaa washamba kibao.hakuna tafsiri zaidi dhidi yao .subiri utaona jogoo Washamba awiki mjini .and don't forget its easy to brought a man from the bush but its not easy to brought a bush from a man .that its
We nawe unaandikaje bhana, watu kama wewe ndio mnasababisha akina ndalichako waje na matamko ya hovyo hovyo. Kiswahili unaandika kimevunjika, ung'eng'e nao umevunjika...
 
Maandalizi yanaendelea kama ilivyopangwa hakuna kurudi nyuma daima #UKUTA kwanza .
 
Hii mbinuu ni ya ovyio imepitwa na wakati kuliko mailezo ,uende kwa bahati mbaya sana utawala huu umejaa washamba kibao.hakuna tafsiri zaidi dhidi yao .subiri utaona jogoo Washamba awiki mjini .and don't forget its easy to brought a man from the bush but its not easy to brought a bush from a man .that its
Kingereza kibovu kabsa umeandka mkuu..kuwa makini
 
Tatizo lenu mmelenga kubomoa umoja kwa kisingizio cha kudai democracy. Lazima mzibitiwe.

Pia credibility ya Chadema iliyeyuka baada ya kubadili gear angani. Hii itawagharimu kwa Muda mrefu sana maishani
Huwa mnatamani iwe hivyo ila ndo dua la kuku hilo. Kubadili gia ni maneno yenu wakosaji
 
Jana Mwigulu kasema yeye tangu akiwa Darasa la sita alikuwa anafuatilia siasa za Uingereza na Marekani. Mbona hakusema alikuwa anafuatilia siasa za Kenya na Somalia, na yeye ana akili fupi kama mimi?
Wewe tangu juzi umeamua kumwaga pumba mtandaoni. Kwa nini lakini?
 
Police kuwatisha wanainchi ni upuuzi na uwendawazimu. Haki ya mtu siyo swala la pendekezo la yeyote. Hii ni haki ya kulaliwa. Rais kuvunja Katiba na kufanya yake halikubaliki. Maigizo ya Police ni mbwembwe tu za kumfurahisha mfalme juha, na mwisho wa siku cheusi kitakuwa cheusi na cheupe kitakuwa cheupe. Swali ni hili ; je, hao Police hawana ndugu kutoka upande wenye kuitetea Katiba na kuilinda?
 
Sam Maela jana kachemka, route match anaripoti ati ni mazoezi magumu ya kijeshi.
 
image.png
Mnadhani wanatania? Jifanye chizi uingie barabarani hiyo siku uone.

Haiwezekani uchezee amani ya nchi yetu ambayo watu walimwaga damu na wengine kuhatarisha maisha yao ili ipatikane.
 
Back
Top Bottom