OSOKONI
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,965
- 5,344
Hii move ya ukuta IPO kweli??UKUTA msilale bado mapambano.
Hii move ya ukuta IPO kweli??UKUTA msilale bado mapambano.
Cheche, zimebaki swagga tuHii move ya ukuta IPO kweli??
Kwani yangu na yako zinatofauti gani?Siku nyingine,post za namna yako nashauri uwe unaxupost Facebook
Hakuna atakayeuliwa ispokua ni vilema ndo watakua wengiWewe unafurahishwa nini nchi ikielekea kuwaua watu wake wenyewe ?!. WaTz tumeingiliwa nini mpaka kujivunia mambo yasiyo ya kistaarabu ?!
Utaratibu ni kwamba kama Rais Magufuli anavunja katiba si mwende mahakamani?Police kuwatisha wanainchi ni upuuzi na uwendawazimu. Haki ya mtu siyo swala la pendekezo la yeyote. Hii ni haki ya kulaliwa. Rais kuvunja Katiba na kufanya yake halikubaliki. Maigizo ya Police ni mbwembwe tu za kumfurahisha mfalme ****, na mwisho wa siku cheusi kitakuwa cheusi na cheupe kitakuwa cheupe. Swali ni hili ; je, hao Police hawana ndugu kutoka upande wenye kuitetea Katiba na kuilinda?
Najua habari hii imekuvunja moyo, lakini ndo ukweli halisi.[/QUOTE
Ata kule moshi mazoezi ya jeshi la polisi yalikua balaa!!
Naona wakati wanabadili gear ulikua somalilandHuwa mnatamani iwe hivyo ila ndo dua la kuku hilo. Kubadili gia ni maneno yenu wakosaji
Kaka hivi vitu huwezi kujua atakaeathirika aweza kuwa hata mfuasi wa CCM !! Kumbuka muuza magazeti aliyeuawa kule morogoro wala hakuwa kwenye mkutano wa CDM !! Think bigHakuna atakayeuliwa ispokua ni vilema ndo watakua wengi
Kaka Wana CCM watakua majumbani Wana watch TVKaka hivi vitu huwezi kujua atakaeathirika aweza kuwa hata mfuasi wa CCM !! Kumbuka muuza magazeti aliyeuawa kule morogoro wala hakuwa kwenye mkutano wa CDM !! Think big
Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
Amani gani watu wanachezea! Kuna mtu alikuambia kuwa kuna silaa watu watakua Nazo? Ni jambo gani litafanyika kinyume cha Sheria? Ni maandamano ya amani ya kudai kutovunjwa kwa katiba ya nchi.Mnadhani wanatania? Jifanye chizi uingie barabarani hiyo siku uone.
Haiwezekani uchezee amani ya nchi yetu ambayo watu walimwaga damu na wengine kuhatarisha maisha yao ili ipatikane.
Oyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii yaani nimecheka sana. Kweli watu wamedataNimeamini pasi na shaka udikteta umetia tanzania, tumepata idi amin wetu
maneno hayo yangesemwa na mwana chadema sasa hivi angekuwa anasakwaMajizi Chadema wapigwe tu
Kwa ajili ya kuwalinda wananchi wao kutoka kwa manyang'au wacache!Ukuta unawafanya askari wasilale lakini wanalala vituoni mpaka majambazi wanavamia na kuiba silaha, wanalala mpaka majambazi yanaua watu huko amboni
na itamwagika tena ili tukombolewe na uchwa,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, kumbe inabidi imwagike sio?Mnadhani wanatania? Jifanye chizi uingie barabarani hiyo siku uone.
Haiwezekani uchezee amani ya nchi yetu ambayo watu walimwaga damu na wengine kuhatarisha maisha yao ili ipatikane.